Recent content by Sweet Mother

  1. S

    JamiiForums Tanzania The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania

    Tuombeane - Ambassadors of christ Kaeni macho - Ambassadors of christ
  2. S

    JamiiForums Tanzania HTML / CSS Programmer

    Kama kweli upo seriously na unahitaji hiyo kazi nakushauri apply. Huyu si kibonde wa clouds, ni mtu mwingine tofauti kabisa.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Watangazaji maarufu wa radio zetu

    Michael Baruti
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wa kwanza.....

    Mh inaonekana alikutenda vibaya e? Ila hupaswi kumchukia binadamu mwenzako, kataa akitakacho.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Suala la kuwa na imani tofauti linapotatiza taasisi ya ndoa

    Hapo ndoa itawezekana tu endapo huyu binti wa Kiislamu yupo tayari kukufuata katika imani yako otherwise wewe umfuate katika imani yake.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mishikaki kwa MFOJO

    Anapatikana Segerea Chama, na nijuavyo mimi anafuata nyama Vingunguti machinjioni
  7. S

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Msiba...!

    Poleni sana, FT Mungu afanyike faraja kwa familia yako ktk kipindi hiki kigumu, tunakuombea. Mungu ailaze pema roho ya marehemu AMINA
  8. S

    JamiiForums Tanzania Udsm watimuliwa rasmi

    Mtoa mada usitundike bandiko ambalo hujapata uhakika nalo, COET hawajatimuliwa ila bado wanaendelea na mgomo. Hizo ndo habari za uhakika
  9. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Uchawi Tanzania

    mh kama niliwahi fika vile kwenye hichi kijiji, ila kinaonekana hakina idadi kubwa ya wakazi, au na wenyewe wameogopa wakakimbia?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Tumia virgin, imesaidia wengi mimi mmoja wao
  11. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya Kichaga!

    Ndenengosia Apaikunda Apaisaria
  12. S

    JamiiForums Tanzania Bestmovies u ever watched

    1. Enchanted 2. Bridge to terabithia 3. Knockedup 4.The girl next door 5.wedding planner
  13. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi

    Habari za jioni ndugu zangu, Naombeni msaada wenu japo nipate link ya ajira Kwa sasa ni mwajiriwa katika kampuni binafsi na ninafanya kazi kama mtakwimu (Researcher and data management) Kifupi siridhiki na mahali nilipo ndo maana bado natoa macho,naombeni msaada wenu kwa mwenye link. Niwatakie...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hellow,

    Karibu Nimrod. Hapa utaelimika,utapata ushauri unapotatizwa,bila kusahau vunja mbavu na mengine mengi
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hello

    Ahsante Pakajimmy,jinsia yangu (she), wewe?
Back
Top Bottom