Watangazaji maarufu wa radio zetu

Mshindo Mkeyenge. Hawa Malipura. Alex Malumwene. Mohamed Ngayonga. Mohamed Mgombo. William Manase.Hamza Kasomngo......
 
Nilikua nampendA sana Bujago Izengo Kadago.. am told yuko pande za Moromoro na mwenzake Mzee Uncle J Nyaisanga
 
Jacob Tesha, Sarah Dimba, Ahmed Jongo, Kipozi, Tido Mhando, J. Nyaisanga, Taji Liundi.<br />
Kwa hawa tulionao sasa ................wanajitahidi ila nawasikiliza tu.
<br />
<br />
IS IT SARA DIMBA ?OR DUMBA OR NDUMBA?
 
Huyu bwana Dominic Chillumba (RIP) nilimpenda sana haswa alipokuwa akitangaza mpira halafu ukute Pamba (wana kawekamo) wanacheza akianza na kipa Juma Ameir, David Mwakalebela, Abdala bori,George masatu, Beya Simba, Fumo Felician, John Makelele..... ah ilikuwa starehe tupu
 
Kuna kina Abdalah Majura, enzi hizo akiwa RTD, then BBC,

Kuna salum kikeke...BBC

Kuna Grace Kingalame...TBC1

Amina mollel-TBC1
Othman Miraji...DW,
Thelma Mwadzaya-DW
Oumilkheir Hamidou-DW
 
mkuu yule mtoto kayanda bado sana,sipendi kumsikilza nahisi ni mtu anayefikiri yuko juu,kutokana na point zake na matamshi yake sana,hajui kazi ya utangazaji


Hata mimi simpendi sana huyu dogo-kwa jinsi anavyotangaza anajiona yuko juu sana. tatizo lake scope yake ni ndogo sana. Kuongoza vipindi kama vile unahitajika kujua mammbo mengi sana kwa usahihi. Kibonde akiamua kujiendeleza anajua kidogo current affairs ila naona amezidiwa sana na club kiasi hapati muda wa kusoma, hata akipata muda anaangalia sana movies kuliko kusoma
 
Debora mwenda.mama na mwana hadithi zile ua jekundu,binti chura.ole wako unitume kila jmosi saa nane
 
Kuna kina Abdalah Majura, enzi hizo akiwa RTD, then BBC,

Kuna salum kikeke...BBC

Kuna Grace Kingalame...TBC1

Amina mollel-TBC1
Othman Miraji...DW,
Thelma Mwadzaya-DW
Oumilkheir Hamidou-DW

Huyu kwenye bluu si mchezo nampenda sana aisee
 
Leo asubuhi nimesikia tangazo la kipindi kipya kwenye CHANNEL TEN, kitakachoongozwa na huyu Ephaim Kibonde! Hivi huyu jamaa amehama ile redio ya wafu, maana hata kwenye jahazi hayumo, kajitosa baharini nini?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom