Mishikaki kwa MFOJO

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,462
154,333
Mishikaki ya kwa Mfojo huko Tabata imekuwa gumzo. Watu wanaisifia sana na Juzi Mfojo mwenyewe alikuwepo radioni Clouds na kasema anauza hadi kilo 200 kwa siku.
Jamani wenye ushuhuda na utamu wa mishikaki hiyo atuelekeze huyo Mfojo anapatikana Tabata ipi ili nasisi wengine tukaionje this weekend

Segerea Dadiito.

Nilikula hii mishkaki 3 yrs ago na ilikua mitamu sana. kumbe mpaka leo ipo?

Jamani naogopa kula mishikaki siku hizi tangu nisikie kwenye Kazi ni kazi ya Bonge, huko mburahahti kuna mishikaki ya Nyau. lol! mnisamehe bure wala mishikaki.

Hahaaha,
Mimi mfojo simfahamu lakini namsikia tu na hapo Tabata anakouza mishkaki napafahamu.
Lakini kuna jambo ambalo nami siwezi kulidhibitisha. Huyu bwana kabla alikua mwenge (mori road) karibu na kwa Kakobe.
Wanaomfahhamu vizuri wanasema ana nguvu zisizo za kawaida (mimi zisifahamu) lakini pia hiyo mishikaki yake ina ualakini
sana kutokana na nguvu hizo alizonazo. Wapo waliomjaribu (waliotoa taarifa hizi) wakaona majani badala ya nyama nk.

Mimi nimepta taarifa hizi kwa vijana waliofanya nae kazi mwenge lakini ni za chuki am wivu siwezi kuzidhibisha unless kama kuna
mtu mwingine anaweza kutupa taarifa zaid.

Jambo moja ambalo walinistua nalo na naomba tulifanyie kazi. Huyo bwana hua ananunua nyama wapi na Kilo ngapi kila siku
tushirikiane kupata jibu

Hiyo ni kali aisee.

Nasikia ukiwa Mzima katika ulimwengu wa roho utaona Mengi.

1. Vijiko vya mama ntilie wengi ni mikono ya watu.

2. Mara nyingi kwenye madaladala kuna Mtu ana msukumasukuma Driver Kusababisha ajali.

3.

Jamaa kiukweli anatisha ktk kazi hii ya kutengeneza mishikaki ya ukweli na kila Bar anayohamia inafunga watu kumfuata yeye. Imani za kishirikina hazipo kabisa isipokuwa ni utendaji wake nzuri ndio unaweza kuleta hisia mbaya haswa kwa wale watu wenye wivu wa maendeleo na Bidii za wenzao. Namfahamu mshikaji tangu miaka ya 1994 ikiwa huko huko segerea wala sijawahi kusikia kuwa amewahi kuwepo sehemu nyingine zaidi. Kwasasa anapatikana Tabata segerea kituo cha CCM amezungukwa na Bar kama tatu hivi, watu wakitafuta riziki kupitia huyu jamaa maana anawashika sana watu.

Ni noma, kuna mama yangu mkubwa ana kaa mitaa ile, huwa tunaenda hapo kila nikiwepo huko
mitamu sana, ajabu haina maviungo mengi

Kuna mzee mwingine alikuwa anauza samaki wa kukaanga ilala, anakata vipande vidogo vidogo. Watu walikuwa wanajaa hadi pa kupark hakuna.

Hiyo ni kali aisee.

Nasikia ukiwa Mzima katika ulimwengu wa roho utaona Mengi.

1. Vijiko vya mama ntilie wengi ni mikono ya watu.

2. Mara nyingi kwenye madaladala kuna Mtu ana msukumasukuma Driver Kusababisha ajali.

3.

Back to Topic!;-)

Isije ikawa kama yalee ya chapati za Magomeni ambazo watu walikuwa wakizifungia safari toka kila kona ya jiji...siri ikajafichuka, kumbe mti wa kusukumia chapati ulikuwa unafanyiwa kisichoelezeka na watu walivyobaini hilo jamaa akahama mji

Hahahahaha! Nimecheka mpaka basi, biashara zingine zina mambo aisee!

Hahaaha,

Mimi mfojo simfahamu lakini namsikia tu na hapo Tabata anakouza mishkaki napafahamu.

Lakini kuna jambo ambalo nami siwezi kulidhibitisha. Huyu bwana kabla alikua mwenge (mori road) karibu na kwa Kakobe.

Wanaomfahhamu vizuri wanasema ana nguvu zisizo za kawaida (mimi zisifahamu) lakini pia hiyo mishikaki yake ina ualakini

sana kutokana na nguvu hizo alizonazo. Wapo waliomjaribu (waliotoa taarifa hizi) wakaona majani badala ya nyama nk.

Mimi nimepta taarifa hizi kwa vijana waliofanya nae kazi mwenge lakini ni za chuki am wivu siwezi kuzidhibisha unless kama kuna

mtu mwingine anaweza kutupa taarifa zaid.

Jambo moja ambalo walinistua nalo na naomba tulifanyie kazi. Huyo bwana hua ananunua nyama wapi na Kilo ngapi kila siku

tushirikiane kupata jibu

Istighfar (also Astaghfirullah or
Estagfirullah) (Arabic: ﺇﺳﺘﻐﻔﺎﺭ), is the act of
seeking forgiveness from God

Mishikaki ya kwa Mfojo huko Tabata imekuwa gumzo. Watu wanaisifia sana na Juzi Mfojo mwenyewe alikuwepo radioni Clouds na kasema anauza hadi kilo 200 kwa siku.
Jamani wenye ushuhuda na utamu wa mishikaki hiyo atuelekeze huyo Mfojo anapatikana Tabata ipi ili nasisi wengine tukaionje this weekend
Hii mishikaki na chips mayai ndio inaletelea low battrey kwa wanaume wa Dar es salaam

Mishikaki ya kwa Mfojo huko Tabata imekuwa gumzo. Watu wanaisifia sana na Juzi Mfojo mwenyewe alikuwepo radioni Clouds na kasema anauza hadi kilo 200 kwa siku.

Jamani wenye ushuhuda na utamu wa mishikaki hiyo atuelekeze huyo Mfojo anapatikana Tabata ipi ili nasisi wengine tukaionje this weekend

NJOONI BANA MI SHAV LIMENONA KISA KWA MFOJO!! ASE MISHKAKI YAKE KIWANGO BANA!

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom