mkuu hapo unatudanganya kama ni hivyo basi ilitakiwa iwe elizabeth mboro maana ukishaweka ma mbele unamaanisha mwanamke na mtoto ni wa baba na si wa mama.eliza mamboro
mkuu hapo unatudanganya kama ni hivyo basi ilitakiwa iwe elizabeth mboro maana ukishaweka ma mbele unamaanisha mwanamke na mtoto ni wa baba na si wa mama.
hebu tuyaorodheshe hapa! Majina ya kichaga
goodluck moshi
elibariki minja
godliving kimario