Recent content by sultanwjps

  1. S

    Visa vya Wamakonde

    Mwanamke mmoja aliyekua akiishi vijijini alitongozwa na wanaume wawili Wamakonde katika siku moja basi kwa maksudi aliwapa miadi katika pori saa za usiku . na wote aliwapa miadi pahala palepale. Huyu mwanamke alifika pale pahala saa moja kabla ya wakati na akapanda juu ya mti na kujificha...
  2. S

    Tension

    One man was driving his car some where on the village , on the way he saw a girl crying , he stopped and ask the girl why she was crying , the girl reply that she is sick. The man took her to the nearest Hospital , straight she was sent to the doctor, after one hour the doctor came out and say...
  3. S

    Mpemba

    eee baba tusipopoteza wakati kwa kutaniana basi mambo hayatakua mazuri. basi lakini mimi nilisikia kua kisa hichi kilitokea unguja gari likitokea kae kuelekea mjini , na huyo jamaa ni mmakunduchi basi sijui ipi ni kweli.
  4. S

    Utani wa wahindi

    Wahindi walikua wakimtania Mhindi singa singa wakasema kua Masinga singa wote hua wendawazimu ifikapo saa 6 kamili za Mchanana wakasisitiza kua hii sio utani bali ni kweli. singa singa mmoja akahamaki sana. ela siku iliyofuata akaenda kwa yule aliyesema hivyo kiasi saa 5 na dakika 50 ili...
  5. S

    Muhindi siga singa

    Soma hichi kisa cha mhindi singa singa. siku moja mhindi singa singa alipanda treni kuenda mikoani , kwakua alikua na pesa na safari ilikua ndefu basi ilibidi akate tiketi ya daraja la kwanza. hivyo alipata chumba na ndani kiko choo na wasafishaji huwa wanakuja kusafisha kila baada ya muda. Huyu...
  6. S

    Mpemba

    Wewe Masikini jeuri usitafute vita na wapemba na kwa taarifa yako wenyewe wapo na bado ni imara, na isiwe wewe mwenzetu ni kutoka Kae
  7. S

    Hospitali ya mkoani

    Just for quick introduction hii Hospitali ilijengwa kwa msaada kutoka China, na madakitari wake pia kutoka China. Sasa miungoni mwa madakitari alikuako mmaja kwa jina akiitwa Ha-Ni-Sii na mwengine anaitwa Basham. Ok , siku moja alifika mwana dada mmoja kutibiwa , alikua anaumwa na tumbo. Huyu...
  8. S

    Mwanasiasa maarufu Tanzania

    Mkuu hapa naona kama umemsahau mhe. Mohd Raza ili aje atupe mshahara wake
  9. S

    Ng'ombe mkali

    Kule kisiwani pemba mchezo wa n'gombe ni maarufu sana na kuna n'gombe wengi wakali na wachezaji stadi. any how kulikua na n'gombe mmoja mkali kupita wote kwa umaarufu anaitwa KIPOLE. Sasa stori ni kua mtu mmoja wa makamo alikua akilima kwenye kajishamba kake na ikafika wakati wa kusali ...
  10. S

    Mpanda baiskeli usiku bila ya taa

    Siku moja mtu mmoja jijini Dar aliendesha baiskeli usiku bila ya kua na taa, kwa bahati alikutana na askari mgambo na akamsimamisha kwakua hakua na taa. sasa maongezi yao yalikua kama ifuatavyo : Mgambo : Jee mzee wapi Taa. kijana aliepanda baiskeli nae akajibu : Ndio napitaa. na akaendelea na...
  11. S

    Nilifuata tigo mke wangu!

    ee bana wee mlani shetani huyo , jambo kubwa hapa ni kua ikiwa ni muislamu basi automatic ndoa yao ime vunjika na hana njia ya kurudiana nae tena
  12. S

    GE2010 Raza: Mshahara wa urais nitawapa wasiojiweza

    Du Alu Huyu Raza mkali kweli kweli ,si bora kuwapa tu pesa za biashara zake chafu chafu. au ndio anataka kuimarisha biashara yake ya kukwepa custom duty na mengineo ambaya ni mzigo mkubwa kwa wazanzibari. Nafikiria kua ana kesi kubwa ya kujibu juu ya pesa anazokwepa kulipa ushuru. any how ni...
  13. S

    Assalamu allaykum

    Assalaam alaykum wana jamii jee hamujambo ? haya sasa tunaweza kua karibu mimi sio mgeni bali nitakua mwenyeji:smiling:
  14. S

    Ulishawahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

    Mimi nilianza kucheat tangu niko na miaka 17. nikiwa single , wakati huo unajua tena at least once a month. Nimeendelea kucheat baada ya kuoa mpaka nimeona kua siwezi kuacha kabisa sababu zilizonifanya kua na mademu ya nje ni kutamani kujaribu mitindo mipya kila mara. nimetembea na watoto wadogo...
Back
Top Bottom