Visa vya Wamakonde | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Visa vya Wamakonde

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by sultanwjps, Feb 21, 2011.

 1. s

  sultanwjps Member

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: Jun 27, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanamke mmoja aliyekua akiishi vijijini alitongozwa na wanaume wawili Wamakonde katika siku moja basi kwa maksudi aliwapa miadi katika pori saa za usiku . na wote aliwapa miadi pahala palepale. Huyu mwanamke alifika pale pahala saa moja kabla ya wakati na akapanda juu ya mti na kujificha.
  Wakati ulipokaribia Mmakonde wa kwanza akafika pale pahala ili kukutana na yule mwanamke na akakaa kungojea na akawa anaenda na kurudi kama amesahau kitu
  ndio mara yule Mmakonde wapili akatokea na kumuona yule wakwanza anaenda na kurudi , yeye akasimama kungojea , wakakaa hivi ndio mara yule wakwanza akamuuliza yule wapili

  Wewew kaka alikua unangoja nini hapa nchituni
  yule wapili akamuuliza yule wakwanza , wewe alikua unauliza mimi nangoja nini
  kwani wewee alikua anakwenda wapi
  yule wakwanza akajibu : Mimi alikua anakwenda kutafuta maputa {mafuta}
  na yule wapili akajibu : Mapuuta mapuuta , hukunchituni kuna muuza mapuuta
  baada ya haya wakaanza kupigana na yule mwanamke kule juu kajificha anawacheka
   
Loading...