Hospitali ya mkoani

sultanwjps

Member
Jun 27, 2010
14
0
Just for quick introduction hii Hospitali ilijengwa kwa msaada kutoka
China, na madakitari wake pia kutoka China. Sasa miungoni mwa madakitari
alikuako mmaja kwa jina akiitwa Ha-Ni-Sii na mwengine anaitwa Basham.
Ok , siku moja alifika mwana dada mmoja kutibiwa , alikua anaumwa na tumbo.
Huyu dada ilipofika zamu yake aliingia chumba cha dakitari na akatakiwa kulala kwenye kitanda na dakitari akaanza kumkanda yumbo kuangalia wapi maumivu
lakini huyu dada aliogopa na akafikiria dakitari leo amezidi , hata hivyo alikaza misuli ya tumbo ndio mambo yakaenda kama hivi :
Dakitari : Nyegeza tumboo {yaani legeza tumbo }
Dada : wee uhanisii
dakitari : sio hanisi {yaani mie sio Ha-Ni-Sii} mie Basham
Dada : Mama wee mie seponaleo ikiwa nimefika mikonani mwa basha, na
dada akashuka kitanda na kukimbia huku asemasebu fanyiwa ubasha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom