Muhindi siga singa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muhindi siga singa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by sultanwjps, Jul 8, 2010.

 1. s

  sultanwjps Member

  #1
  Jul 8, 2010
  Joined: Jun 27, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Soma hichi kisa cha mhindi singa singa.
  siku moja mhindi singa singa alipanda treni kuenda mikoani , kwakua alikua na pesa na safari ilikua ndefu basi ilibidi akate tiketi ya daraja la kwanza. hivyo alipata chumba na ndani kiko choo na wasafishaji huwa wanakuja kusafisha kila baada ya muda. Huyu mzee singa singa alilala humo chumbani , ila baada ya muda alihitaji aende ****** , basi hapo kwenye mlango wa choo kuna kioo kikubwa , hivyo akaona sura yake hapo kwenye kioo , hivyo akasema aah
  iko singa singa mengine na akarudia kulala , mara yapili akakurupuka kwenda mara ya pili na
  alipoona sura yake kwenye kioo akasema aah iko singa singa mengine na akarudi kulala na hivyo hivyo mpaka mwisho akashindwa kuvumilia. sasa akavua kilemba chake akakitandika vizuri na akafanya haja yake humo kwenye kilemba chake, alipokwisha akaona bora akitupe hicho kilemba nje , hivyo akafungua dirisha na akakizungumsha hicho kilemba ili akitupe nje mbalilakini alipokitupa nje ile haja yake alioitia ndani ya kilemba ikatoka na ika ruka juu ya
  kipaa cha chumba, sasa akakaa anatazama vipi imeganda kule juu ndio akaingia msafishaji
  kusafisha. yule singa singa akatoa shilingi 10 na akamuambia yule msafishaji "Taumpa shilingi 10 safisha kule juu" sasa yule msafishaji akaangalia vipi ile imeganda kule juu na
  akamuambia yule singa singa "mimi nitakupa shilingi 100 nionyeshe vipi umefanya kule juu"
   
Loading...