Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,157
- 10,816
what next after poll, naona kabisa majibu siyo realistic, kuna facts za umaarufu, kuna reality za umaarufu, na kuna ushabiki!kwa swali lako muanzisha thread ni kuwa atakayeshinda hapo anaweza kugombea uongozi wa juu na kushinda, lets assume Slaa anashinda kwenye hiyo Poll, so anaweza kugombea urais na kushinda? what about Rostam then! katika wote hapo juu Rostam na Lowassa ndio maarufu na wana nguvu zaidi achilia mbali, so is not reliastic kuwaweka akina Slaa na Rostam!!!!!! how can you mix kondoo na chui?
Ukimpima Slaa na Sheriff, sherif kamuacha mbali sana Slaa, labda kama Tanzania yako unamaanisha Tanganyika tu!! WATU 176 wamepiga kura! kweli kwa umaarufu Slaa kampita Kikwete? au swali lingekuwa tunapenda nani awe rais wa Tanzania??
may be sijaelewa ila ukiniamsha usingizini hiyo list yako na swali lako na hayo majibu naona niko gizani! hasa ukiunganisha na lengo lako!!
Halafu assumption huwa zinaenda na wakati, Kinabo mwenyekiti wa CCJ ni maarufu sana kwa sasa unless stated otherwise
Futa akina Lowasa, Rostam,membe wote aasio presidential materials, kama unataka viongozi!!! kama unataka umaarufu tu, Mtikila, Kingunge, Makamba usiwasahau! that is real
Samahani sijapiga kura hapo sioni nimpigie nani na kwa nini, kila mmoja ana umaarufu wake na mafanikio yake, pia katika kupiga kura we real need to see reality kitu ambacho Semilong ulitakiwa kutoa elimu kwa wapiga kura hata kama ni wana JF! LMAO!!