Mkuu kwanza pole kwa kibano ulichopokea kutoka kwa chombo cha dola, Pia mshukuru huyo mwanao kwa kufanya maelezo yako yaeleweke kwa kupitia kilio chake. Mie hapo naona ulikosea sana kuna vitu unatakiwa ujiongeze mwenyewe kabla hujakutwa na majanga mimi sikuona sababu ya wewe kuwakimbia hao...
Aaaaaaaaaaaaa Kumbe ndiyo maana siku hizi hunipi simu yako nione zile picha za apetite siyo kumbe umeanza kudate na Joh siyo? Sasa nasema hivi hapa hafi wala haolewi mtu na nakuja sasa hivi niandalie mambo yangu na nitalala hapo hapo... Kumbe diyo maana unamchangamkia sana yule bwna mdogo co?
Kwa uelewa wako mdogo unafikri hicho kitabu hutolewa muda gani na nani hutoa hicho kitabu ukisha fahamu hayo wala hutakuwa na mwendokasi wa kutoa povu lote hilo, pia kuwemo au kuto kuwemo bungeni hakukufanyi usifuatilie nini kinaendelea bungeni... huu tunauuita uwajibikaji kwani kuto kuhudhuria...
Hiyo ni kweli kabisa hawa jamaa ni wabaguzi kichizi nilidhani ni mimi pekee nilikutana na huo ubaguzi kumbe na wewe mzee pole sana. Naona hii itakuwa ni sera yao hawa jamaa
Kama uko serious unataka house girl mbona wapo kibao tu sema kuwatoa mashambani huko huwa wanataka pesa za kuacha makwao tu, zaidi ya hapo ni uhakika wa mshahara.... ila pole sana ushauri wangu ni kuacha kumfikiria mr namna hiyo... Hilo lilishawahi kutokea kwa upande wangu ila lilikuwa tofauti...
Naheshimu mawazo yako ila sikubaliani nawe Kama ifuatavyo:
1. Rais wa Uganda anaapishwa tarehe 12/05/2016. Rais JPM ni mwenyekiti wa jumuiya ya Africa ya Mashariki na mktanao wao na huyo Prime Minister ni Tarhe hiyo hiyo kama ndio wewe ungeenda wapi uache wapi? Ili hali tulikuwa kwenye mtifuano...
Perimeter of a rectangle = 2(length +width)
34 = 2(L + W)....................(i)
Area of a rectangle = Length * width
60 = L*W................................(ii)
Combine equation (i) and (ii) above to solve simultaneous equation which results...
Labda mumeo alikuwa anahamu sana na Mtoto ila wewe ukaweka maslahi yako ya kuto kubeba mimba yake mpaka umalize masomo unaweza kuachana nae leo ila elewa kuwa siku zote ukishakuwa ndiwe mwenye maamuzi ndani ya ndoa vitu kama hivyo tena na zaidi ya hivyo hutokea ushauri wangu ni kuwa rudisha moyo...
Haja kutusi kakuambia ukweli weka hiyo website yako uliyokuwa una peruzi ili siku nyingine usaidiwe kama neno website ndio tatizo kwa kisukuma ni tovuti kaka
Huyu jamaa wakati Mh. Lowassa anatangaza nia ale Sheikh Amri abeid, alishuka kwa chopa uwanjani toka siku ile nikaanza kumuona chengu, Pia wakati wa kampeni huyu jamaa alikuja na kuvumisha mgombea fulani wa urais amejinyea, wakati wa bunge la kwanza akaja na hoja za kutaka sigara bwege ivutwe...
Mwanamke staha siyo usela mwingi... wanawake wa aina hii ndoa wao wanaishia kujaza kabati la nguo kwa sare za harusi za wenzao. Mwanamke pozi, kudeka na kauli zenye bashasha za mahaba siyo unakuwa mgumu na kauli tata kama kondakta... nani akuweke ndani? unataka kugeuza nyumba yangu gheto la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.