Nahitaji mkopo, nitarejesha na riba ya 25%

Nyakarungu

JF-Expert Member
May 1, 2011
472
377
Wakuu ninahitaji mkopo wa riba 25% kwa miezi 3 tu, nitarejesha yote bila kikwazo kwa sababu issue ninayotaka kufanyia iko researched na imepimwa haswaaaa..... mwenye utayari anipigie 0754459572

Hela nayohitaji ni 20 milion tu. Ukimjumlisha na 25% ya miezi 3 ni 15M.

Jumla kuu nitarudisha 35 million, dhamana ipo sio business lakini ni nyumba kubwa nzuri ya kuishi ninayoishi ni ya kwangu
 
Weka picha ya hiyo nyumba ambayo unataka kuiweka dhamana, sema na mahali ilipo maana usije ukawa unauza nyumba kijanja.
 
nyumba nina picha nimeshindwa namna ya kuziupload humu, ila ile nyumba ina thamani zaidi ya milion 70 aisee acha masihala
 
nyumba nina picha nimeshindwa namna ya kuziupload humu, ila ile nyumba ina thamani zaidi ya milion 70 aisee acha masihala
Jibu hili tu linaonyesha ni mtu wa namna gani
Kwa uzoefu wa biashara,hakua reaserched project yoyote yenye uwezo wa kurejesha 35m ndani ya miezi 3.
Unaweza ukawa upo sahihi,na ndio mmiliki waNyumba,ila inawezekana unajamaa na marafiki zako wa karibu wanakuingiza chaka.
Nakushauri usiingie mtego huu kama sio wewe,utalia.
 
Mkuu ukirudisha Na riba ya 25% utatakiwa kurudisha 25m Na sio 35m
Kapiga 25% kwa kila mwezi, which is still wrong kwa sababu ni kuwa: 25% ya 20mil + 20mil= 25 mil, then 25% ya 25mil +25mil=31.25mil na 25% ya 31.25mil +31.25mil = 390625mil.
Sasa asema kapataje hiyo 15mil + 20 mil = 35mil?
 
Yupo sahihi kwani we hesabu zako zimekaa vp? maana 25% ya 20m ni 5m mra miezi 3 ni 15m au lete hesabu yako tuone
Ha ha ha!
Kama mikopo ingekuwa inarudishwa kwa mahesabu haya yako hakuna ambaye angekopa!!
Ukirudisha 35mil maana yake ni kwamba mkopo huo riba yake ni asilimia sabini (70% ) ya mkopo ulioomba!!! Yaani 15mil/20mil x 100%!!
Hata mabepari yaliyobobea hayawekagi riba kubwa kiasi hicho!!!
 
Kapiga 25% kwa kila mwezi, which is still wrong kwa sababu ni kuwa: 25% ya 20mil + 20mil= 25 mil, then 25% ya 25mil +25mil=31.25mil na 25% ya 31.25mil +31.25mil = 390625mil.
Sasa asema kapataje hiyo 15mil + 20 mil = 35mil?
mbona hesabu rahisi hivi kwanini itusumbue?kapiga 25% ya 20m kwa mwezi ni sawa na 5m,kwa miezi mitatu ni sawa na 5m mara tatu sawa na 15m,akajumlisha na 20m ambayo alikopa ndio maana akapata 35m.
 
Afad
mbona hesabu rahisi hivi kwanini itusumbue?kapiga 25% ya 20m kwa mwezi ni sawa na 5m,kwa miezi mitatu ni sawa na 5m mara tatu sawa na 15m,akajumlisha na 20m ambayo alikopa ndio maana akapata 35m.
Afadhali umemaliza utata wa Watu, yaani sielewi hesabu imewashindaje hii
 
Back
Top Bottom