Rafiki wa mchepuko wangu anataka kunioa

Rafiki wa mchepuko wangu anataka kunioa

Ulichokizungumza Nina ukweli ndani yake. Yaliyo mpata rafiki ako kwa mkewe kuchekwa kwa kebeh labda inaonesha kabisa watu wenyewe hawajiheshim,(hao vijana ).labda niseme hivi,huu mchepuko wangu ni mtu Na busara zake, kunidharau sio rahisi Ila sijui atachukuliaje hilo swala maana hata jana Na juzi ananitumia sms za "usiniache,kukupenda kwangu isiwe tabu uKajaniumiza, oh ur by happiness , yaani sijui Na hata sielew itakuaje. "yaan kama moyo wake una wasi wasi coz najaribu kumua void so kama anastuka.

are you serious??? mwanamke gani hapa duniani hajaambiwa hayo maneno... kuna mawili, either huwajui kabisa wanaume au umeamua tu kuweka story siku iende.. unamuitaje mtu anayechepuka na mchepuko wa rafiki yake ni mtu mwenye busara..mmmmh
 
Wale mliozoea kutukana sihitaji comments zenu za matusi, muwe wastaarabu kwani hakuna asiejua kwamba kuna kuchepuka au kutembea na mke au mume wa mtu huwezi kushauri pita tu kwa ustaarabu.

kwahiyo unamchimba mkwara nani we mzinz.i????!
 
Anataka akulambe tu.. keshaona unafaa kuwa mchepuko...
 
Habari zenu humu ndani,

Mimi mwenzenu ninatoka na mume wa mtu ndo mbaba wangu na ananiweka mjini mwaka sasa, kuna kipindi cha nyuma tulienda zetu huko sehemu ya mbali kidogo kubadilisha hali ya hewa.

Sasa akanitambulisha kwa rafiki zake ambao walikuwa wakifanya kazi pamoja, ila baadae wakatenganishwa. Kijana mmoja akaonyesha kama kanizimia mana alivyokuja akanisalimia akanishika mkono kama shemeji yake.

Sasa tukakutana ghafla siku nyingine tukapeana namba. Sasa kijana akanipenda tangu ile siku kiukweli nilipomuona pia nilijikuta navutiwa nae. Basi tumewasiliana na nampenda na tumepanga mikakati mingi na soon tunataka tukatambulishane ili mwakani Mungu akipenda tuoane.

MTIHANI UNAKUJA HAPA. Mchepuko ananipenda mpaka basi na hii ni kutokana tunaheshimiana na naiheshimu familia yake. Je naanzaje kumwambia huyu mtu? Na mi najua hatoweza kunioa kwa mara ya pili, na mi kijana tumeelewana vyema.

Ebu wenye upeo wanipe mawazo na ushauri jinsi ya kumwambia huyu baba pia nahitaji maneno ya busara maana asije akafa kwa presha.

Wale mliozoea kutukana sihitaji comments zenu za matusi, muwe wastaarabu kwani hakuna asiejua kwamba kuna kuchepuka au kutembea na mke au mume wa mtu huwezi kushauri pita tu kwa ustaarabu.

Karibuni kwa msaada
Aaaaaaaaaaaaa Kumbe ndiyo maana siku hizi hunipi simu yako nione zile picha za apetite siyo kumbe umeanza kudate na Joh siyo? Sasa nasema hivi hapa hafi wala haolewi mtu na nakuja sasa hivi niandalie mambo yangu na nitalala hapo hapo... Kumbe diyo maana unamchangamkia sana yule bwna mdogo co?
 
Back
Top Bottom