Recent content by sudy mlela

  1. sudy mlela

    Muongo Vs. Mengi. Kimenuka !

    Kwani mengi atapewa bure? au atakuwa halipi kodi? rudi shule kapunguze ujinga na mawazo yako mgando
  2. sudy mlela

    Baada ya kuangalia mawazo ya watu mbalimbali humu JamiiForums, nimeona nianze hivi

    Safi sana mkuu kwa kutufungua ubongo sisi kizazi cha .com tunaokaa vijiweni na kusubiri white color job huku umri ukizidi songa mbele bila ya huruma..
  3. sudy mlela

    Kisia huyu ni kiumbe binadamu au mnyama?

    hapo itakuwa binadamu alimpanda mbwa ndo kikatokea hicho kiumbe
  4. sudy mlela

    huu mguu umepitiliza....

    huyu jamaa hata bangi atakuwa anavuta
  5. sudy mlela

    Mbwembwe zote za Diamond na Number one ...kumbe hakuna kitu!!

    Usiwe mvivu kufikiri wewe, tambua kuwa kupata views nyingi sio kama wimbo ni mzuri, watu wame view ili wickize cz walikuwa hawajapata chance ya kuichek. So kabla huja comment fikiri kwanza na sio unakurupuka kama umetoka ucngizini..
  6. sudy mlela

    jkt kwa form six na vyuo vikuu

    Mkuu hiyo ni kawaida na haisumbui coz hata sisi tulivyoingia 2010 tulikikuta hicho kipengele bt c lazima kama hujapitia JKT..
  7. sudy mlela

    Mbwembwe zote za Diamond na Number one ...kumbe hakuna kitu!!

    Soma vzuri mkuu watu hawaikosoi video, ni audio ndo imekaa kushoto..
  8. sudy mlela

    Live: Mansour Himid , Dk Slaa na Hassan Moyo

    duh, hiyo kofia ya nini sasa..??
  9. sudy mlela

    Wanafki wanapokutana

    Ebu tueleze reason kwa nini unawaita wanafki, may b unaweza ukatushawishi..
  10. sudy mlela

    Kagame's true colors!

    Mkuu na wewe usipoangalia atakuunganisha na hao wengine watatu..
  11. sudy mlela

    Ni Kauli Ipi Inachefusha Na Kinyaa Katika Hizi?

    Magufuli, kapuya, wasira na pinda wamenikera kweli. Nahisi hizi kauli zinaweza niharibia cku..
  12. sudy mlela

    selection za diploma

    Diploma ya chuo gani?? na course ipi?? Jipange vzuri mzee..
  13. sudy mlela

    Dawa ya sheikh ponda hii hapa.

    Na mbona hujiulizi waislam wangine hawaitambui bakwata??
  14. sudy mlela

    Sheikh Ponda apandishwa kizimbani Morogoro

    Inaonekana huyo DPP alivyokuwa chuo alikuwa anatumia migg..
  15. sudy mlela

    Sheikh Ponda apandishwa kizimbani Morogoro

    Hahahaaaaa, wakuu hamna kesi hapo..
Back
Top Bottom