Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,018
- 20,489
Mwendo mzuri sana, mkakati imara wa kisiasa wa chadema,
Wameteleza sie twachukua nafasi bila kupepesa macho!
Wameteleza sie twachukua nafasi bila kupepesa macho!
hapo sioni kama ni kosa kubwa maana binadamu na akili zetu tunakua na ukuaji mzuri ni ule wa kuboresha mambo badala ya kurudi kinyume. Ndio maana wengi wetu tuliishi kwenye nyumba za nyasi na madongo hapo hapo kabla lakini baada ya exposure na maendeleo ya dunia yasiyotoa nafasi kwa mtu kubaki nje yake, tukaongeza bidii kujenga nyumba za tofali na bati, ninaamini huu haukuwa usaliti kwa mababu. Mengine labda....Naomba ufafanuzi kidogo
.... Makosa ya Mansour ni
1 - kuisaliti ilani ya uchaguzi ya chama chake
2 - kushindwa kutekeleza kazi kwa ufasaha
3 - Kukiuka na kukaidi katiba ya chama chake
Masahihisho; aliyesema Zanzibar siyo nchi ni Mizengo Pinda
wajinga ndio waliwao
Slaa na baraghasia.
Dr. Slaa anaweweseka. Kila akionacho anakitolea macho!
Unajua sembe pia husababisha brain atrophy, ZeMarcopolo umezidisha dose, siku zinavyokwenda ndio punda zinavyozidi kutoka kwenye mdomo wako.Dr. Slaa anaweweseka. Kila akionacho anakitolea macho!
Dr.Slaa, mambo ya Zanzibar yana muhusu nini wakati Tundu Lissu kupitia tamko la chama alisema Zanzibar siyo nchi.