Hao sio wanafiki wewe! Hao ni Wanaume wa matendo. Men in action.
Kweli kabisa, hao ni watu wa kazi na wala sio wanafiki. Mnafiki ni raisi wetu kwa kujipendekeza kwa wazungu. Tatizo ni kwamba watanzania tumeingia katika mkumbo bila kutafakari kwa kina huu mgogoro wa maneno. Raisi wetu inabidi ajitafakari upya.Hao sio wanafiki wewe! Hao ni Wanaume wa matendo. Men in action.
sawa kabisa matendo ya unafiki, tunakubaliana na weweHao sio wanafiki wewe! Hao ni Wanaume wa matendo. Men in action.
sawa kabisa matendo ya unafiki, tunakubaliana na wewe
Sitaki kuamini kuwa kuna Watanzania wanapendezwa na muendendo wa hawa Marais hapa EAC.
Sitaki kuamini kuwa kuna Watanzania wanapendezwa na muendendo wa hawa Marais hapa EAC.
Wote Wanafiki tu hao Nchi hii ndio imewasaidia kwa hali na mali kushika hatamu ya uongozi wa nchi zao leo wanajifanya kuisusia Bandari iliowalea Nyambaf kabisa