By TUKUTUKU![]()
![]()
Maana yake nini?wengine hatujui kiarabu!
Wandugu wapendwa,Waheshimiwa mlokirimiwa ubora wa viumbe vyote; Asalaam Aleykum ujio wangu mwema kwenu...ningependa kuongeza kidogo yakuwa hao "miungu mingi" hua inakufaga na wapo walokufa na watakuja wengine nao watakufa KM;- Mungu wa kiBudhaa(sanamu/temthali)mungu wa hidus (Cow) Mungu wa Nature, Mungu mwanga(sun,Moon) Mungu moto,Mungu jiwe nk. hao wakupita......!
Kwa hiyo Mwenyezzi Mungu ni mmoja yeye ni Hai (uhai ni wake) hafi wala hapitiwi na ndiye mwenye ufalme wote na kumiliki kila kitu.
Allah Akbar.
Nashukuru mkuu,nimeelewa sasa!
Allah = Mwenyezi Mungu
Akbar = Mkubwa
...hiyo ndio maana yake unajua kuna MWENYEZI MUNGU na MUNGU sasa hii MUNGU ikiwa miiiiingi huitwa MIUNGU sasa hawa MIUNGU wapo wengi tu huitwa MUNGU lakini MWENYEZI MUNGU ni mmoja na hakuna MWENYEZI MUNGU au MWENYEZI MIUNGU hapana ni MWENYEZI MUNGU wa watu wote na YEYE ndo aliyetuumba,hana BABA wala MAMA na HAKUZAA wala HAKUZALIWA na hafanani na KITU CHOCHOTE kile,huyu ndio ALLAH AKBAR'
Allahuakbar
Kwahiyo wewe ni mnyama? Tuonyeshe mkia.
nduki mbona unazidi kutuchanganya, Allahu na Allah ni ni Mungu yule yule au ni wawili tofauti...!
Je, MWENYEZI MUNGU na MNYAZI MNGU ni Yule yule au ni aka yake? Au ni lugha tu, ipi ni kiswahili na ipi ni kiarabu?
Je na sisi binadamu hatujaumbwa kwa mfano wake kama vitabu vya Torati vinavyo eleza?
Naomba kueleweshwa mimi maamuma!