"Mwanzo 1:28 Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi." Ni mpango wa Mungu kuijaza dunia, nadhani kwa sababu ni mambo ya imani (Waebrania 11:1-maana ya...