Kapepo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,052
- 1,154
Habari wakuu naombeni ushauri katika hili jambo, ni hivi jina langu la mwisho katika taarifa za nida linatofautiana na taarifa zangu pamoja na vyeti vyangu nilivyo upload ajira portal , nimejaribu kupambana kwenda nida wanifanyie msaada kwenye hili tatizo linanisibu lakini nimeona msaada wao mdogo sana maana nimekamilisha nyaraka zote wanazohitaji kama deed poll pamoja na tangazo la gazeti ila niliporudi nida wanasema hawajui specific time watabadiri jina langu, nimehangaika sana lakini nimeona kushindwana na nida. Nakuja kwenu wadau wenye huzoefu wa hili nifanyaje ili niweze fanya mtihani utumishi bila vikwazo je kuna njia nyingine naweza kufuata nkapa msaada wa ku update ili jina langu toka nida? Nawasilisha naombeni ushauri wenu wakuu