Nisipojiangalia kwa hili nahisi sintoshuhudia uchaguzi mkuu wa 2020

Kama mtakumbuka nilwahi kuwaambia ya kwamba kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 nilikuwa miongoni mwa wajumbe wa kamati ya ushindi ya mheshimiwa mmoja hivi ambae alishinda na hatimae mzee wa matabasamu akampa u~naibu waziri wa wizara flani, pia mwaka 2015 nilikuwa na nafasi hiyo hiyo na yule mgombea wetu alishinda tena yule na mzee wa mapushapu akamtunuku uwaziri wa wizara moja nyeti.

Familia yake na yangu zikazidi kuwa marafiki, haikuwa ajabu cku za wikiendi mke wa yule mheshimiwa kuja kushinda kwangu au wife wangu kwenda kwake, na kama itatokea ivo basi ucku lazima twende klabu kucheza mziki wa bendi wote wa3 mimi, yeye na wife..... cku1 wife akanipa habari ambayo haikuwa rahisi mimi kuiamini, aliniambia "usimuone ivo dada happy (sio jina lake lakini) ana matatizo kwny ndoa yake yanayompa mawazo sana,

Analalamika kuwa mume wake amekuwa bize sana na wapiga kura wake kiasi kwamba huduma ya migegedo imekuwa adimu kwake, akaniacha hoi aliposema jamaa aliomba papuchi huku amefurahi cku matokeo ya ubunge yalipotoka akiwa ameshinda tena kwa kishindo na mara ya mwisho ni cku aliyotoka kuapishwa kuwa waziri....... niliwaza sana juu ya hilo nikajisemea moyoni kwamba "nitalichunguza hilo" maana najiamini kwny suala la uchunguzi niko vizuri kama majasusi wa ki Israel.

Cku moja ktk story za hapa na pale nikabadili maongezi ghafla 'hivi mbona cku hizi nakuona kama umepoteza furaha yako" hiyo mbinu ni nzuri sana ukiitumia kumuuliza mwanamke kitu cha kweli kuhusu yeye tena umuulize huku umemkazia macho, akastuka kdg halafu akauondoa haraka sana ule mstuko usoni pake lakini macho yangu makali ya kijasusi yakawa yameshanasa kitu, nikamtania:-

Yani cku hizi umekuwa una mawazo meeeeengi hadi ule urembo wako umeanza kupotea taratibu. Akaniuliza kwa aibu kdg usoni.... kwann unasema ivo, nikamwambia ni hisia za moyo wangu ndo zimekuona ivo.... akajiumauma pale akikosa cha kuongea, nikahama fasta nikawaambia wajiandae tutoke.

Wakati tupo kwny mtoko akanitumia sms anasema 'naomba wikiendi ijayo kama hautajali unisindikize sehemu flani, lakini tumuache bi mdogo (huwa anamuita ivo wife) nikajua hapa tayari kuna habari, nikamkubalia..... siku moja kabla ya cku ya ahadi akanikumbusha tena huku akiniambia niage kwa wife kuwa nasafiri.

Kweli tukasafiri tukihamia mkoa wa jirani (si anatumia li VX, hakutaka twende na dereva wa familia tuliendesha sisi wenyewe) huko tuliongea mambo mengi sana tena mazito juu ya matatizo yake na akanishukuru sana kwa mimi kuanzisha kumuuliza maana siku nyingi alipanga kuniomba ushauri juu ya hilo lakini alikosa pa kuanzia.....

maongezi yalikuwa mareefu sana na mimi nikimsihi ajitahidi kuwa mvumilivu tu maana kila jambo huwa lina mwisho wake na wakati mwingine nikijifanya mwanasaikolojia kumjenga kiakili, jioni tukarudi akanishusha kwny baa moja hivi.

Wakati nakata maji pale nikaanza kuyapitia upya yale maongezi, nikaendelea kung'amua mambo mengi tu, lakini mwisho wa yote nikaona kwamba sina namna ya kumsaidia kwa maana ya kwamba siwezi kumvaa jamaa na kumuuliza hizo habari angeona kama vile mke wake anatangaza mambo yao ya ndani..... nikaachana nalo,lakini naona cku hizi kama vile amebadili gia kama!!

Wakati mwingine ananikaribisha chakula cha mchana kwake huku akisema eti anajisikia vzr kuniandalia chakula yeye mwnyw kuliko kiandaliwe na hg, cku moja akasema anatamani nae kutumiwa sms nzuri za kimahaba kama ninazomtumiaga wife (kuna siku alikuwa anaangalia simu yake na akaenda hadi kwny sms akazikuta nyingi tu)

hii ya juzi ndo kali zaidi aliposema eti nimsindikize sehemu akafanyiwe masaji maana hajickii vzr au kama naweza nimfanyie mimi maana mafuta anayo! nilimshangaa kimoyomoyo tu halafu nikatoa udhuru sikwenda nae, yani mambo yamekuwa meeeeengi hadi nahisi kuwa huyu ananitengenezea mazingira nimgegede.....

Nahofia sana kutekeleza hilo kwa maana yanaweza kunikuta makubwa sana likiwemo la kupotea bila kujulikana ulikoenda (kama yule bwana watch 8)halafu baada ya muda flani ukaokotwa ukiwa umenyofolewa kucha, umeng'olewa meno kwa plaizi nk. Kwa hiyo wadau juu ya hili naombeni ushauri wenu tu namna ya kukwepa kumgegeda bila kuharibu mahusiano yetu, maana wazo hilo sjawahi kuwa nalo kichwani

Naomba kuwasilisha.
Tafuna mfupa kama meno bado iko
 
Mwambie huyo mke wa mheshimiwa kua wewe huwez ila kuna vijana wa kazi.
Tena wanambinu za kijeshi maana hata sim azitumiki kuficha evidence, ni mwendo ya vitendo tuu
Ratiba ya mzee inasomwa tibisi, maisha mengine hayona kulipanaa
 
mashikoro mageni!
unasema alikuta sms zako sasa je response yake kwako ilikuwaje?
Alikuwa anaangalia angalia simu ya wife akajikuta amefika hadi kwny sms ndo akaona nilizokuwa anatumia wife, so akasema anatamani nae atumiwe sms za kimahaba kama zile sasa cjui alilenga mi ndo niwe namtumia, japo nadhani hilo ndo lilikuwa lengo lake
 
Nina ushauri wa aina mbili.

USHAURI WA KWANZA
Jaribu kumfanyia canceling vizuri asitamani kugegedwa na mtu wa nje na aone uthamani uliopo kwa mume wake lakini pia uzuri wa urafiki mlionao. Lakini pia kama ulivomuingia huyo mama tumia ujanja huo huo tena uzidishe kumuingia na huyo bwana mheshimiwa. Then usolve tatizo juu kwa juu bila wao kujua kama umewafanya watambuane kama mke na mume na wanastahili kupeana haki za ndoa.

USHAURI WA PILI
Unaweza kumwondolea bimkubwa stress za maisha kwa kumgegeda kisiri sana. Uhakikishe hiyo inakuwa siri yako na yeye tu. Umsihi sana asifungue mdomo kumwambia mtu yeyote..... Mh hapa yataka moyo maana akili za wanawake Mungu ndiye azijuaye. Uwe makini sana kaka..
Ni hayo tu.
Mh...... unajua najaribu kuziingiza kichwani hizo shauri zako na ninaziweka kwny mzani ili nione niufanyie kazi ushauri upi lakini naona kabisa mzani una balance kati kwa kati
 
Hmm... Mkuu Amalinze, kama hii ni kweli (maana huyo waziri anayesemwa namfahamu) basi hiyo script kabla hata haijaisha nitakuwa nimeshakutana na scrorpion...
Mkuu acha uongo kabisa na usitake kuingiza hisia mbaya miongoni mwa viongozi, huyo waziri unaesema unamfahamu ni yupi au lini niliwahi kuzungumza na wewe nikakwambia ni fulani..... acha mambo yako hayo bana
 
Ondoa huu uzi ni hatari, utawasababishia wenzio waumizwe kwa kuhisiwa wao ndio wewe. Wenzio ni wale waliokuwa ktk timu za wagombea ubunge ambao wanaukaribu na familia za mabosi wao.
Mkuu nahic kama kuna ka u kweli flani hivi kwny ka comment kako
 
Yan eti hii ndo akili ya mtu ambaye ni mshauri wa Waziri...si ajabu Magufuli anafanya tu vituko Magogoni!
Mkuu acha ujinga, umesoma wapi nimeandika kuwa mi ni mshauri wa waziri..... na Magufuli ameingiaje kwny huu uzi, soma vzr nilichoandika halafu ndo urudi kuja kuchangia lakini nakusihi uache mambo ya kipuuzi
 
Kama hii story yako ni ya kweli
Upo kwenye hatari sana umeandika kwa lugha Ya picha Sana,kumbuka Mh. Kwa nafasi aliyonayo anauwezo WA kuomba mawasiliano Ya simu ya mke wake kutoka katika mtandao WA simu.
Hivyo acha kabisa mazungumzo Ya simu uwe Unafunga safari tu mnaongea live.!!
Yapo mambo mengi ambayo nimeyaweka kwny mafumbo ya imani ni vgumu sana kuelewa
 
Back
Top Bottom