Recent content by STEVEN ATMIN

  1. STEVEN ATMIN

    JamiiForums Tanzania Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    Nosaidie chifu kuhusu TV sijakuelewa.
  2. STEVEN ATMIN

    JamiiForums Tanzania Tumsifu mungu

    Tuanze na Mungu tumalinze na Mungu. Kila kitu kimepangwa na Mungu, likishindikana jambo kwako usimtukane Mungu. Mambo vipi wana JF?
  3. STEVEN ATMIN

    JamiiForums Tanzania Kuporomoka Kwa Maadili, Kushamiri Kwa Ushoga Na Ukahaba

    Mr. BUJIBUJI yawezekana ikawa hivyo,lakini bado ainipi kwa mtu mwenye akili timamu.KUFANYA MAPEZI NA MZAZI?hama kweli mbdili yameporomoka.
  4. STEVEN ATMIN

    JamiiForums Tanzania Kuporomoka Kwa Maadili, Kushamiri Kwa Ushoga Na Ukahaba

    Member JF jamani sisi watanzania tunakwenda wapi? Manake haya mambo ni michanganyo. Maadili yameporomoka,kwa habari nilizoziona juzi tu hapa kwenye STAR TV ni za kuuzunisha. Wana JF wezangu, hizi habari nilizozipata kutoka kwenye chombo hiki cha habari zikieleza kwamba,nanukuu(mtoto...
  5. STEVEN ATMIN

    JamiiForums Tanzania Mawazo yangu juu ya mchakato wa katiba mpya!

    nakunga mkono kwa mawazo yako mazzuri
  6. STEVEN ATMIN

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha hadithi ya Kiswahili ya Willi Gamba kinahitajika haraka

    tafadhali mr. Fuso nami ni mwanachama wa jf japokua nitakua nimeingilia kati uniwierathi,mimi nilikua na hamu ya kuipata hiyo story ya njama kuppitia internet tafadhali niwezeshe kuipata hiyo story pkeas i bag you.
  7. STEVEN ATMIN

    JamiiForums Tanzania Ulaji wa Mbwa [mlinzi wa usiku]

    asante kwa kunibainisha
  8. STEVEN ATMIN

    JamiiForums Tanzania Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

    Ongereni sana wahusika naunga mkono.kutokana hutumia na watu kibao wakubwa kwa wadogo.nawapa ongera sana kwa sheria zenu zuri.
  9. STEVEN ATMIN

    JamiiForums Tanzania System za uzazi [wanaume]

    nilikuanataka kudhibitisha mkuu ili niweze kumjibu yule aliyeniswalika swali.asante sana kwa jibu lako zuri.
  10. STEVEN ATMIN

    JamiiForums Tanzania System za uzazi [wanaume]

    kwaiyo unanimaanisha ni kwamba test couse zote mbili kwa mwanaume zinakazi moja tu inayofanana.
  11. STEVEN ATMIN

    JamiiForums Tanzania System za uzazi [wanaume]

    Hodihodi jamani katika uwanda wa elimu.Naombeni kuuliza swali iliniweze kumjibu yule aliye niswalika swali,HIVI JAMANI MWANAUME MWENYE TEST COUSE MOJA UWEZA KUMSABABISHIA MWANAMKE UJAUZITO?Tafadhali waalam maombeni maelezo kwa kina.
  12. STEVEN ATMIN

    JamiiForums Tanzania Darasa la mahusiano jinsi ya kuwakamata wadanganyifu katika mapenzi

    nimeipenda japokua mimi ni kichanga wa JF vipi nitalipata ilo darasa la mapezi.Je ni kwa mtandao wa JF?ningependa kufahamu.
  13. STEVEN ATMIN

    JamiiForums Tanzania Ulaji wa Mbwa [mlinzi wa usiku]

  14. STEVEN ATMIN

    JamiiForums Tanzania Ulaji wa Mbwa [mlinzi wa usiku]

    member wa JF sina niambaya kwa sababu hizi ni tetesi nilizo zisikia kwa mda mrefu sana,nilitaka tu kudhibitisha je kunaukweli wowote hapa?ila bado jibu sijalipata manake wengi wao wamemaindi hii tetesi.Nakama nimewakosea maomba samahani.
  15. STEVEN ATMIN

    JamiiForums Tanzania Willy gamba

    usemalo si kweli mkuu mimi ni kichanga wa JF, kama inawezekana ungeangalia orodha wa memba wabya wa JF nami nimo umo. ASANTE KWA KUNIKARIBISHA KATIKA JF MEMBERS.
Back
Top Bottom