System za uzazi [wanaume] | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

System za uzazi [wanaume]

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by STEVEN ATMIN, May 10, 2012.

 1. STEVEN ATMIN

  STEVEN ATMIN Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Hodihodi jamani katika uwanda wa elimu.Naombeni kuuliza swali iliniweze kumjibu yule aliye niswalika swali,HIVI JAMANI MWANAUME MWENYE TEST COUSE MOJA UWEZA KUMSABABISHIA MWANAMKE UJAUZITO?Tafadhali waalam maombeni maelezo kwa kina.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ndio unaweza.
   
 3. STEVEN ATMIN

  STEVEN ATMIN Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  kwaiyo unanimaanisha ni kwamba test couse zote mbili kwa mwanaume zinakazi moja tu inayofanana.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwani ukitolewa jicho moja lile lingne linashndwa kufanya kazi?
   
 5. STEVEN ATMIN

  STEVEN ATMIN Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  nilikuanataka kudhibitisha mkuu ili niweze kumjibu yule aliyeniswalika swali.asante sana kwa jibu lako zuri.
   
 6. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  "test couse"
   
Loading...