Ulaji wa Mbwa [mlinzi wa usiku]

STEVEN ATMIN

Member
May 4, 2012
24
45
Hebu waungwana wa JF niambie eti nasikia tetesi WAHEHE wanakula kitoweo kiitwacho mbwa hivi ni kweli au ni hadithi tu.NAOMBENI MAELEZO AKINIFU MIMI KICHANGA WA JF.
 
STEVEN ATMIN

Member
May 4, 2012
24
45
member wa JF sina niambaya kwa sababu hizi ni tetesi nilizo zisikia kwa mda mrefu sana,nilitaka tu kudhibitisha je kunaukweli wowote hapa?ila bado jibu sijalipata manake wengi wao wamemaindi hii tetesi.Nakama nimewakosea maomba samahani.
 
Kiteitei

JF-Expert Member
Jan 14, 2009
1,519
2,000
Hebu waungwana wa JF niambie eti nasikia tetesi WAHEHE wanakula kitoweo kiitwacho mbwa hivi ni kweli au ni hadithi tu.NAOMBENI MAELEZO AKINIFU MIMI KICHANGA WA JF.

hawaitwi mbwa; wanaitwa mbuzi makucha!....haya rekebisha heading kwanza ndio tuchangie
 
drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,545
1,500
watafute wahehe waulize watakujuza au na ww ni muhehe ulokulia mjini so unataka uhakika ili nawe uanze kudumisha mila ya kwenu?
 
Mwitta

Member
Apr 21, 2012
27
45
Ni kwamba Stive, wanao sema ni wale ambao hawakuelewa neno (Madogi) ambapo kwa kihehe ni maharage. Watu walivyosikia neno linavyoishia dog wakajua wanakula mbwa. Wao wanakula Madogi sio Dog.
 
msafiri.razaro

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,223
2,000
Hebu waungwana wa JF niambie eti nasikia tetesi WAHEHE wanakula kitoweo kiitwacho mbwa hivi ni kweli au ni hadithi tu.NAOMBENI MAELEZO AKINIFU MIMI KICHANGA WA JF.

Bwalo la Polisi Moshi walishalishwa Mbwa. Kila siku watu walisifia nyama choma nzuri bwalo la polisi, siku moja mchoma nyama alijichanganya, akitoa nyama kwa ajili ya kuchoma akatoa kicha cha mbwa ndipo wateja walipogundua. Jamaa alipata kibano cha hali ya juu mpaka akaconfesi kuwa ilikuwa ni kawaida yake kuwachanganyia nyama ya Umbwa iliapae faida kubwa.
 
SIMBA WA TARANGA

JF-Expert Member
Feb 14, 2012
987
0
Nenda sehemu Iringa inaitwa Tanangozi, yaani Chuna ngozi (ya mbwa) then u get Mbuzi Makucha kama huna nauli ni PM.
 
Pota

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
1,993
2,000
hizo ni hadithi tu za paukwa pakawa, wahehe maharage wanayaita idogi... hivyo kama amekula
ugali maharage atasema nimekula ugali na idogi....kwa sisi watu wa kuja tunadhani ni mbwa kumbe
ni maharage. nimekaa sana iringa sijawahi kuona wakila mbwa zaidi ya story tu kusikia kwa watu.
sawa na ukiwa unaenda tanga utaambiwa vifuu vya nazi vinatembea na kuongea lakini hamna kitu.
 
asante kwa kunibainisha
 
kashesho

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
4,982
2,000
si wahehe tu watu wengi sana wanakula mbwa wakidanganywa ni mbuthi ha ha ha
 
ncholaus

Member
Mar 26, 2015
23
0
Sorry wakubwa hilo jina nimeandika kimakosa wakat nipo jf nikikuwa nasoma jambo kwe news khs huyu mh nikajimix
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom