Duuuu mapenzi ayashauliki kaka, kama umempenda komaa nae kama hauna kifua mkimbie tena usubili kodi imeisha hapo kidogo utakuwa umeonesha ukidume wako hata mkikutana njian atakuona mjanja
Hilo swali inatakiwa umuulize wakati ule unamtongoza, wewe umeisha mla ndio unauliza bikila inamana gani sasa?? Kibaya zaidi unamuuliza mkeo sizalau hiyo kwahiyo unataka kunshitaki kuwa alikuwa Malaya sana au sio mdau?? Acha utoto kama mkeo anakupenda na kukuheshim shukuru Mungu kwani wengine...
Mm nahisi umeisha jialibu na matoy unayo jichomeka nayo huko ndiomana kumekuwa kukubwa kama bakuli, bole Dada ila usijali kwan mpo wadada wengi wenye matatizo kama yako kwa ushauliwangu ungejalibu kuwaona madocter wa upasuaji wanaweza kukusaidia angalau wakakushona hata nyuzi 2 ikapungua ukubwa...
Duuuu!! We jamaa unamoyo wa kishujaa, unajua kila kitu kinacho endelea alafu unampotezea daaaa!! Mm siwez ningesha mtimua kitambo, hiyo zalau mpaka makofi unakula daaa!! [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nakuhulumia ila najikuta nakucheka, Punguza ubwege bwana atakuletea magonjwa...
Uwongo mbaya tukiwapata wanaume wengine wa2 wenye kujitoa muhanga kama Nape watanzania wataamka toka usingizini. Nakumbuka usemi wa bibi mmoja alisema "Tanzania sio nchi ya amani bali ni nchi ya Uvumulivu" duuu!! Sasa nmeyasadiki maneno hayo.
Duuu itakuaje ikiwa unaota ndito unasex na kwabahati mbaya ukajikuta umwemwaga kitandani?? Wanaweza kukuelewa kwel kuwa ulikuwa unaota?? Nahis watawafunga weng wasiokuwa na hatia hapa wachache sana watakao pona
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.