special dady
Member
- Feb 7, 2017
- 60
- 36
Uwongo mbaya tukiwapata wanaume wengine wa2 wenye kujitoa muhanga kama Nape watanzania wataamka toka usingizini. Nakumbuka usemi wa bibi mmoja alisema "Tanzania sio nchi ya amani bali ni nchi ya Uvumulivu" duuu!! Sasa nmeyasadiki maneno hayo.