Hawa mbwa siwaelewi kabisaaaa

Hawa mbwa siwaelewi kabisaaaa

Duuu!! Unabahati Mungu kakupendelea kakupa ulinzi, ingekuwa muungwana ungeenda kutoa sadaka ya shukulani
 
Usiwafukuze hao ni tiba tosha ya matatizo yako kwani umesahau chanda chema huvikwa pete!!
 
Nielekeze kwako mkuu nije na kirikuu niwapakie kwa safari ya kwenda nao Iringa,maana kule kwetu ndio kitimoto yetu hiyo.Dah!penye miti kweli hapana wajenzi.
umetishaaa!
 
Habari wanajamvi,

Hapa kwangu huwa sifugi mbwa wala mfugo wowote, sasa basi walianza mbwa na mama yake wakawa wanalala mbele ya nyumba yangu

Kadri siku zinavyoendelea wanaongezeka, mpaka sasa ninavyoandika wamefika mbwa 11. Wamajilaza tu mbele ya nyumba yangu.

Kinachonishangaza hawaendi nyumba za jirani ni kwangu tu, huwa wanazunguka zunguka usiku kama kuna kitu watabweka kama hakuna wanalala tu usiku kucha, asubuhi wanaondoka. Ikifika mida ya saa 1 jioni wanaanza kuja.

Nikiwafukuza wataondoka lakini baada ya muda watarudi.

Hebu nisaidieni njia ya kuwaondoa

Wenu

CL
Anza kuchinja mmoja mmoja wataisha wote sio kwako tuu mtaa mzima
 
Habari wanajamvi,

Hapa kwangu huwa sifugi mbwa wala mfugo wowote, sasa basi walianza mbwa na mama yake wakawa wanalala mbele ya nyumba yangu

Kadri siku zinavyoendelea wanaongezeka, mpaka sasa ninavyoandika wamefika mbwa 11. Wamajilaza tu mbele ya nyumba yangu.

Kinachonishangaza hawaendi nyumba za jirani ni kwangu tu, huwa wanazunguka zunguka usiku kama kuna kitu watabweka kama hakuna wanalala tu usiku kucha, asubuhi wanaondoka. Ikifika mida ya saa 1 jioni wanaanza kuja.

Nikiwafukuza wataondoka lakini baada ya muda watarudi.

Hebu nisaidieni njia ya kuwaondoa

Wenu

CL
Huo ni ulinzi shirikishi
 
Njia rahisi kabisa ya kuondokana na kero hiyo ni kuwachinja na kuwala nyama au ita jama wa Iringa kama watano hivi, hiyo kero itaondoka. hongera sana kwa kupata kitoweo cha bure, woo...woooo..wuuuuu!
 
Habari wanajamvi,

Hapa kwangu huwa sifugi mbwa wala mfugo wowote, sasa basi walianza mbwa na mama yake wakawa wanalala mbele ya nyumba yangu

Kadri siku zinavyoendelea wanaongezeka, mpaka sasa ninavyoandika wamefika mbwa 11. Wamajilaza tu mbele ya nyumba yangu.

Kinachonishangaza hawaendi nyumba za jirani ni kwangu tu, huwa wanazunguka zunguka usiku kama kuna kitu watabweka kama hakuna wanalala tu usiku kucha, asubuhi wanaondoka. Ikifika mida ya saa 1 jioni wanaanza kuja.

Nikiwafukuza wataondoka lakini baada ya muda watarudi.

Hebu nisaidieni njia ya kuwaondoa

Wenu

CL

Una bahati sana ya kupata walinzi wa kujitolea (volunteers) Usiwe na imani mbaya.

Mbwa huwa wana instincts na wanaweza kujua hapa ni mahali salama wanakoweza ku-settle.

Waanzishie program ya matibabu na msosi maana huna namna ingine.

Btw Mzima wewe?
 
Habari wanajamvi,

Hapa kwangu huwa sifugi mbwa wala mfugo wowote, sasa basi walianza mbwa na mama yake wakawa wanalala mbele ya nyumba yangu

Kadri siku zinavyoendelea wanaongezeka, mpaka sasa ninavyoandika wamefika mbwa 11. Wamajilaza tu mbele ya nyumba yangu.

Kinachonishangaza hawaendi nyumba za jirani ni kwangu tu, huwa wanazunguka zunguka usiku kama kuna kitu watabweka kama hakuna wanalala tu usiku kucha, asubuhi wanaondoka. Ikifika mida ya saa 1 jioni wanaanza kuja.

Nikiwafukuza wataondoka lakini baada ya muda watarudi.

Hebu nisaidieni njia ya kuwaondoa

Wenu

CL

Usihofu, mbwa ni wazuri sana kwa usalama wako. Hao wanakulinda wewe ili usibakwe na kama atakuja mtu humpendi unamsakizia hao mbwa. Lala dada yangu kwa raha zako huku ukiniwaza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom