Recent content by sophiere

  1. S

    Mwanamke kuolewa ni muhimu na ni mafanikio makubwa au mtindo wa maisha mtu anaouchagua tu?

    Jamii nzima na hata mama yake mzazi pia anaona mwanae hajakamilika bado hadi pale atakapopata familia kusoma, kupata mavyeo yote lakini kama huna familia nikimaanisha hata watoto pekee basi unakuwa hujakamilika. Ulishakaa ukajiuliza haya maisha tunayatafuta kwa ajili ya nani?
  2. S

    Heshima ya mwanamke iko katika kulea na kutunza familia sio katika kutafuta fedha

    Umenena vyema kabisaaaa!! majukumu yenyewe siku hizi wanaume hawatimizi ipasavyo sasa roho inakuumia nini mwanamke anapotafuta pesa ili aweze kuwapatia watoto wake mahitaji muhimu? pambana kaka ili mke hasiwe kama huonavyo na ufikiriavyo!!
  3. S

    PSSSF, hivi fao la uzazi bado lipo?

    Me nimejaza form tangu mwaka juzi mwezi wa nne sijapata jibu lolote mpaka sasa
  4. S

    Mtoto wangu wa kike atapata tabu sana

    We hujawahi kufanya kwa watoto wa wenzio? Aaahaaa kama ulilifanya kwa watoto wa wenzio jua na wa kwako lazima atafanyiwa.. na ndio maana wanaume huwa wanaumia sana watoto wao wa kike wanapoingia kwenye ndoa coz anajua anachomfanyia mkewe na mwanae atafanyiwa vivyohivyooo!! Pambana kijana
  5. S

    Kwenye hili sitaki nifeli, naombeni ushauri wenu waungwana

    Na pia naomba usiingize pesa yote kwenye biashara, weka pesa kiasi kwenye biashara then pesa nyengine wekeza hata kwenye vipande hili iwe inakuletea faida kidogokidogo huku ukiangalia upepo wa biashara ukoje
  6. S

    Wanaume tuliotumikishwa kingono na Ma-House Girl (Wafanyakazi wa Kazi za Ndani) tukutane hapa

    Na wengine atataka kujua ladha ya baba na mtoto ndio hapo kama kuna kaugonjwa kanazunguka mnakufajeee
  7. S

    Maalumu kwa wanaume wanandoa

    utatafuta watoto bila kumpetipeti mwanamke? huwezi kumkimbia mwanamke hata ufanye nini la sivyo na hao watoto katotoleshe kuku basi kama unaweza ili uepukane na mtu anayeitwa mwanamke!! usikejeli mwanamke wakati lazima umuhitaji kwa jinsi yoyote ile iwe kwa kutaka au pasipo kutaka...
  8. S

    Maalumu kwa wanaume wanandoa

    Nimekujibu kutokana na wewe humo ndani kuandika kwamba anayevunja ndoa ni mwanamke tu au mwanamke ndio mwenye makosa tu!! imenishangazaaaaaaaa!! inaonekana ufikiriaji wako ni kimfumo dume sana uubadilishe la sivyo kila mwanamke utamuona mbaya mbele yako.. Kuna muda wa wewe mwanamme utambue kama...
  9. S

    Maalumu kwa wanaume wanandoa

    Hivi kwa nini kiola kosa likitokea kwenye ndoa mwanamke ndio anakua kazorotesha? kwa taarifa yako sasa, ndoa nyingi zinazorotshwa na wanaume.. mwanaume akishakua na mchepuko huko huwa hawawezi kurizisha ndani na mwanamke huwa anajua kabisa hila anaweza hasikwambie akakuangalia tu.. sanasana kama...
  10. S

    Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

    aaaahaaa huyo mwanamke tu anapiga nyetoooo
  11. S

    Hongereni Bima ya Afya kwa hii huduma ya CHF

    Yapasa kuanza kufuatilia kama huduma hii inapatikana katika hospital zipi kwanza maana tusikimbilie kutoa 40,000 then usipate huduma mahospitalini
  12. S

    Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

    Sema mshukuru Mungu kwa kuwa bado upo kazini na kizuri zaidi ulianza kazi katika umri mdogo sana hila ungekuwa umeajiriwa labda na miaka selathini sasa ndio ungeteseka zaidi ya unavyoteseka sasa hivi.. mshukuru tu Mungu kwa kweli maana ungeweza hata kukwaa magonjwa katika umri huo mdogo, cha...
  13. S

    Msaada: Mtoto mchanga wa mwezi mmoja hajawahi kulia

    Wewe kaka mwanao angekuwa na hii shida ungekaa kimya na kuamini kuwa hana tatizo? hospital zetu huwa zina mtindo wa kukwambia tatizo baadae sana huku umeshapoteza muda wa kumshughurikia mapema.. Hili tatizo sio la kawaida kwa mtoto, mtoto lazima acheze na kuongea hata kama anachoongea hakieleweki.
  14. S

    Msaada: Mtoto mchanga wa mwezi mmoja hajawahi kulia

    Ameruhusiwaje kutoka hospitali na tatizo hilo? Mama mzazi huwa haruhusiwi kutoka hadi kuwe na utatuzi wa hiyo changamoto
  15. S

    Hotuba ya Rais Magufuli Vs Freeman A. Mbowe

    Anataka ukampe viewers huyoooo
Back
Top Bottom