Heshima ya mwanamke iko katika kulea na kutunza familia sio katika kutafuta fedha

Andie

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
713
1,641
Katika dunia ya kileo wanawake (sio wote) wamekua wakijitunisha misuli dhidi ya wanaume kwa kusaka nafasi za upendeleo ili waweze kuwa katia sector za kuajiriwa na kupata fedha kama wanaume wakidhani wataheshimika. Wanaishia kulea kwa simu "mtoto amekunywa maziwa!"

Ukweli ni tofauti kabisa. Heshima ya mwanamke (degnity) iko katika kulea na kuitunza familia. Na hapo ndo hasa kwenye uhodari na umahiri wa mwanamke ila katika kutafuta ni kulazimisha na ndo maana hata nafasi wanazipata ni kwa upendeleo na sio hasa uwezo wao. Mafeminist uchwara karibuni kwa mjadala.

The DESTROYER of Feminists
 
Mwanadamu hawezi kuwa salama kwa kuishi kwa kanuni bali kwa kuishi kulingana na matakwa ya nyakati husika.......

Kiuhalisia hayo ndio maumbile na hayo ndio majukumu au wajibu wa maumbile hayo......lakini ili upate mlinganyo wa maumbile hayo kila upande unapaswa kutimiza wajibu wake kwa kadri ya uwezo wake na kwa nafasi yake.......upande mmoja unapozembea au kuacha kabisa kutimiza wajibu wake hapo ndipo unapotokea mtikisiko wa kimaumbile na inabidi hatua za ziada au dharula zichukuliwe ili maisha yaendelee......na hapo ndipo unapowaona kina mama na mabeseni vichwani wakiwa mitaani na wengine maofisini....wakipambana kuziba lile pengo liliachwa na wanaume....
 
Mkuu Andie unaweza ukawa sawa to some extent

shida inakuja kwa aina ya wanaume waliopo sasa,walio wengi ni wale waogopa majukumu,wanaotaka kusaidiwa majukumu yao na wanaodhani kuwa kusadiwa majukumu yao ni haki yao kabisa,wale wanaoweka kigezo cha "mwanamke mwenye kazi ya kumwingia kipato "kuwa kimoja kati ya vigezo vya mwanamke mzuri wa kuoa

na kejeli na dharau ambazo baadhi ya wanaume walio wengi wanawaletea wake zao pale wanapopata mwanamke ambaye amejitoa kabisa kulea watoto na kuutunza mji wake kwa mapenzi mema kabisa,wanawake wa aina hii huitwa magolikipa,wamekaa tu wakikinga mikono wakisubiri kupewa tu,sasa mkuu kuna mtu anataka kudharauliwa karne ya sasa?ndo hapo sasa unakuta mwanamke na yeye anajitutumua apate vihela vyake asishghulike kuomba akapewa majina ya ajabu ajabu yasiyo na staha

wanaume kushindwa kutambua uzito na ugumu wa kazi wazifanyazo wake zao majumbani pia ni mchango wa kufanya akina mama wajikakamue kujiingizia vipato vyao ili muuone umuhimu wao,maanake wanaume walio wengi wa karne hii wanatafsiri kazi ni zile tu za kuingizia kipato,kupika kufanya usafi kufua kwao hizo sio kazi ndo maana kuna wanaume wana jeuri ya kufika home na kuuliza swali la muda wote huo ulikuwa unafanya nini mpaka muda huu hujapika?

em leo hii wanaume jaribuni kukubali kuwa kutunza familia ni majukumu yenu,muwatunze wake zenu bila malalamiko ya aina yoyote,onesheni kuuthamini kazi za nyumbani za akina mama muone kama wanawake watajaribu kushindana nanyi
 
Mwanadamu hawezi kuwa salama kwa kuishi kwa kanuni bali kwa kuishi kulingana na matakwa ya nyakati husika.......

Kiuhalisia hayo ndio maumbile na hayo ndio majukumu au wajibu wa maumbile hayo......lakini ili upate mlinganyo wa maumbile hayo kila upande unapaswa kutimiza wajibu wake kwa kadri ya uwezo wake na kwa nafasi yake.......upande mmoja unapozembea au kuacha kabisa kutimiza wajibu wake hapo ndipo unapotokea mtikisiko wa kimaumbile na inabidi hatua za ziada au dharula zichukuliwe ili maisha yaendelee......na hapo ndipo unapowaona kina mama na mabeseni vichwani wakiwa mitaani na wengine maofisini....wakipambana kuziba lile pengo liliachwa na wanaume....
Umenena vyema kabisaaaa!! majukumu yenyewe siku hizi wanaume hawatimizi ipasavyo sasa roho inakuumia nini mwanamke anapotafuta pesa ili aweze kuwapatia watoto wake mahitaji muhimu? pambana kaka ili mke hasiwe kama huonavyo na ufikiriavyo!!
 
Utatunza vipi familia bila pesa.?
Hawa ndo wanaume wetu jaman kulea watoto 3 na mwanamke mmoja ni tatizo..mnataka kusaidiwa tukiwasaidia basi mkubali yote...mana tofauti zetu zitakua zimebaki kimaumbile tuu...na mkumbuke makaria wuman hawashauriki so hutajiona kichwa familiani kwa lolote.
Turudi enzi zetu jaman
 
Kila mtu aishi atakavyo..you can not impose your will on anyone....

There is no a one size fits all....
 
Mwanadamu hawezi kuwa salama kwa kuishi kwa kanuni bali kwa kuishi kulingana na matakwa ya nyakati husika.......

Kiuhalisia hayo ndio maumbile na hayo ndio majukumu au wajibu wa maumbile hayo......lakini ili upate mlinganyo wa maumbile hayo kila upande unapaswa kutimiza wajibu wake kwa kadri ya uwezo wake na kwa nafasi yake.......upande mmoja unapozembea au kuacha kabisa kutimiza wajibu wake hapo ndipo unapotokea mtikisiko wa kimaumbile na inabidi hatua za ziada au dharula zichukuliwe ili maisha yaendelee......na hapo ndipo unapowaona kina mama na mabeseni vichwani wakiwa mitaani na wengine maofisini....wakipambana kuziba lile pengo liliachwa na wanaume....
Safi sana
 
Mbona maandiko yapo bayana "Mwana mpumbavu mzigo kwa *****" waacheni waendelee kudanga kwa kisingizio Cha kutafuta kipato na kuwaletea wanaume wao viburi.

Wanaume wenzagu msijisumbue kuhangaika na majitu mabishi yasiyo taka kuelewa ......hizi nguvu Bora tukaziweka kwenye kutafuta pesa tu ili uzeeni mwetu tuzeeke kwa fahari.

Huku tukiendelea kuzibabua nyuchi za wanawake wadangaji .....shwainiiii
 
Katika dunia ya kileo wanawake (sio wote) wamekua wakijitunisha misuli dhidi ya wanaume kwa kusaka nafasi za upendeleo ili waweze kuwa katia sector za kuajiriwa na kupata fedha kama wanaume wakidhani wataheshimika. Wanaishia kulea kwa simu "mtoto amekunywa maziwa!"

Ukweli ni tofauti kabisa. Heshima ya mwanamke (degnity) iko katika kulea na kuitunza familia. Na hapo ndo hasa kwenye uhodari na umahiri wa mwanamke ila katika kutafuta ni kulazimisha na ndo maana hata nafasi wanazipata ni kwa upendeleo na sio hasa uwezo wao. Mafeminist uchwara karibuni kwa mjadala.

The DESTROYER of Feminists
Nasoma comments za Radical feminists
 
Umemaliza kila kitu mkuu,japo watakuponda lakini ukweli ndio huo
Katika dunia ya kileo wanawake (sio wote) wamekua wakijitunisha misuli dhidi ya wanaume kwa kusaka nafasi za upendeleo ili waweze kuwa katia sector za kuajiriwa na kupata fedha kama wanaume wakidhani wataheshimika. Wanaishia kulea kwa simu "mtoto amekunywa maziwa!"

Ukweli ni tofauti kabisa. Heshima ya mwanamke (degnity) iko katika kulea na kuitunza familia. Na hapo ndo hasa kwenye uhodari na umahiri wa mwanamke ila katika kutafuta ni kulazimisha na ndo maana hata nafasi wanazipata ni kwa upendeleo na sio hasa uwezo wao. Mafeminist uchwara karibuni kwa mjadala.

The DESTROYER of Feminists
 
Hahahaaaa
Mbona maandiko yapo bayana "Mwana mpumbavu mzigo kwa *****" waacheni waendelee kudanga kwa kisingizio Cha kutafuta kipato na kuwaletea wanaume wao viburi.

Wanaume wenzagu msijisumbue kuhangaika na majitu mabishi yasiyo taka kuelewa ......hizi nguvu Bora tukaziweka kwenye kutafuta pesa tu ili uzeeni mwetu tuzeeke kwa fahari.

Huku tukiendelea kuzibabua nyuchi za wanawake wadangaji .....shwainiiii
 
Katika dunia ya kileo wanawake (sio wote) wamekua wakijitunisha misuli dhidi ya wanaume kwa kusaka nafasi za upendeleo ili waweze kuwa katia sector za kuajiriwa na kupata fedha kama wanaume wakidhani wataheshimika. Wanaishia kulea kwa simu "mtoto amekunywa maziwa!"

Ukweli ni tofauti kabisa. Heshima ya mwanamke (degnity) iko katika kulea na kuitunza familia. Na hapo ndo hasa kwenye uhodari na umahiri wa mwanamke ila katika kutafuta ni kulazimisha na ndo maana hata nafasi wanazipata ni kwa upendeleo na sio hasa uwezo wao. Mafeminist uchwara karibuni kwa mjadala.

The DESTROYER of Feminists
Watakujia juu kama moto wa kifuu na walivyo ma vichwa vigumu kuelewa mada inalenga nini wao wanachojua ni kubishana tu na kutaka kushinda mada kwa ubishi wa kitoto.
 
Mwanadamu hawezi kuwa salama kwa kuishi kwa kanuni bali kwa kuishi kulingana na matakwa ya nyakati husika.......

Kiuhalisia hayo ndio maumbile na hayo ndio majukumu au wajibu wa maumbile hayo......lakini ili upate mlinganyo wa maumbile hayo kila upande unapaswa kutimiza wajibu wake kwa kadri ya uwezo wake na kwa nafasi yake.......upande mmoja unapozembea au kuacha kabisa kutimiza wajibu wake hapo ndipo unapotokea mtikisiko wa kimaumbile na inabidi hatua za ziada au dharula zichukuliwe ili maisha yaendelee......na hapo ndipo unapowaona kina mama na mabeseni vichwani wakiwa mitaani na wengine maofisini....wakipambana kuziba lile pengo liliachwa na wanaume....
Bro. So unataka kusema wanaume wanazembea kutimiza wajibu au hawapo tayari kutimiza wajibu.....

Hivi umetafiti kujua the reason behind wanawake wengi miaka hii kukurupukia sana harakati za kujitafutia kipato binafsi....?!

Umetafiti wakishakipata hicho kipato huwa kinatumikaje?!

Umeshahoji huu tunaoita upambanaji wa wanawake katika uchakarikaji umekuwa na tija gani katika jamii yetu ya mtanzania (tukiachana na porojo za wanasiasa)?!

Umeshahoji mabadiliko ya kijamii yaliyopatiakana tokea hiyo hali ya so callled wanawake wapambanaji imeanza?!

Fanya uchunguzi mkuu.......

Naomba nikuache na maneno haya mazito..... Yatayokutafakarisha.....

'What gets us into trouble is not what we don't know. It's what we know for sure that just ain't so.'
(Mark Twain)
 
Back
Top Bottom