PSSSF, hivi fao la uzazi bado lipo?

kadada wa pili

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
201
106
Habari naomba kuuliza hivi hili fao la uzazi kwa watumishi waliojifungua bado lipo au limeshafutwa kazi tunayopata kujaza fomu na majibu mnayotupa tukifuatilia ni bora mseme halipo watu wajue.
 
dah mamaa kajaza mwaka jana, mtoto anakaribia kuanza day care na bado
 
Haya mafao yapo kisiasa kabisa ,eti bima ya afya unachagua hospital moja huo sio ujinga? Ina maana nikienda likizo kijijini sipaswi kutibiwa na kadi ya bima ya nssf kisa nimesajili hosptal moja ya mjini?
 
Yaani PSSSF ni janga before ilikuwa unalipwa kama unamiaka miwili katika ajira lakini kwa sasa ni mpaka uwe na miaka mitatu katika ajira.yaan watu wamechangia alafu hawalipwi ,hii hata kisheria haipo kwamaana makubaliano ni miaka miwili.
 
Back
Top Bottom