Recent content by SOLOGWIGABA

1. S

JamiiForums Tanzania Kigogo udom anaswa na madawa yadhaniwa kuwa ya kulevya

Taarifa toka ndani ya Jeshi hilo

2. S

JamiiForums Tanzania Kigogo udom anaswa na madawa yadhaniwa kuwa ya kulevya

Jeshi la Polisi mkoa wa Dodoma linamshikiria Afisa utumishi wa chuo kikuu cha Dodoma@UDOM, P.LIPILI kwa tuhuma ya kupatikana na madawa yadhaniwayo kuwa ya kulevyo.Chanzo cha habari hii kimeeleza kuwa Afisa huyo alikamatwa jana tarehe 27.08.2001 majira usiku wa manane akiwa na pipi zidhaniwazo...
3. S

JamiiForums Tanzania Je, eti open university programs hutoa elimu isiyokidhi kiwango cha kimataifa?

Amina ubarikiwe pia na ninashukuru sana kwa ufafanuzi wako mzuri.Kama hautajari ningependa kujua location na addresse yako tafadhali

4. S

JamiiForums Tanzania Je, eti open university programs hutoa elimu isiyokidhi kiwango cha kimataifa?

Jamani kuna mdogo wangu amemaliza Form six HGL mwaka juzi akapata Division 3 akiwa na principle tatu.Hata hivyo kulingana hali ya maisha kuwa ngumu niliamua kumtafutia kibarua amudu kujikimu mahitaji yake.Kwa sasa anaendelea na kibarua na nimemshauri mwaka huu ameomba Open University na amepata...
5. S

JamiiForums Tanzania New ACSEE Syllabus

Jamani tuacheni uzembe we have to learn how to learn.
6. S

JamiiForums Tanzania New ACSEE Syllabus

Kuna kila dalili kuwa mtafeli maana hamjishughulishi.Kumbukeni mchango wa mwalimu ni 40% tu ktk kuwezesha ufaulu mwanafunzi. Kama sasa mko busy na keyboard jamvini mtaperuzi saa ngapi wakati mnajua umeme nao ni wa mgao?
7. S

JamiiForums Tanzania wanyakyusa tu

Oya acheni kiluga humu ndani vinginevyo hakutakalika.LEKAGI GETE BHABEHI DENDELEYAGI NA JISWAHILI JA TAIFA

8. S

JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Magereza,JWTZ na Polisi.

Muda mfupi uliopita nilikuwa naongea na Commisiner wa Polisi kuhusu ajira ndani ya jeshi la Polisi amesema kwa sasa kule CCP kuna recruit kozi inaendelea ambapo inategemewa kuisha 2012 mwezi wa 2 au 3 baada ya hapo ndipo wataajiri wengine,hvyo tegemea labda kwa kipindi hicho.Hata hivyo ametoa...
9. S

JamiiForums Tanzania Kilio cha polisi kuhusu posho kimesikilizwa???

Mzalendo wa kweli siku zote hudai haki kwa ajili ya watu wote.Anaye wabagua Polisi si mzalendo na pengine ni mharifu.Tuwatetee pengine watatulinda ipasavyo.
10. S

JamiiForums Tanzania lijimama la ukweli,full mapoozi,naingia kwa raha zangu najiachiaaa usiku kucha

Jamani lijimama liacheni lije kwangu.
11. S

JamiiForums Tanzania Vituko vya Nahodha

Polisi wenyewe hawana mood ya kazi kutokana serikali yao kutowajali.Hao wauaji nani atahangaika nao?
12. S

JamiiForums Tanzania 10 rules of any office

You are right.These rules are mostly applicable in forces,JWT and Police.
13. S

JamiiForums Tanzania Hongera IGP mwema, kazi unayofanya ni kubwa

Kama mwema ni mwema na muugwana kiasi mnachofikiria hadi mkampa hongera waulizeni askari wake anavyo watenda.Au mnasemaje maafande?
14. S

JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu amenipiga mkwara wa kuangalia au kushika simu yake

Bila shaka kiburudisho chako kina kusaliti.Tafuta njia nyingine utamkamata live her hidden secret.
15. S

JamiiForums Tanzania Breaking news:kituo cha mafuta Banana kinataka kuchomwa moto

Jamani wakichoma tu na sisi tuchome vilivyo karibu yetu kisha tuandamane kuelekea makao makuu ya kila Mkoa/wilaya na wengine Bungeni kuhoji kama wakuu wa mikoa/wilaya na idara husika kama wameshindawa kusimamia sheria na kwamba hawakusikia kauli ya Comrade Zito Kabwe.
Back
Top Bottom