Kigogo udom anaswa na madawa yadhaniwa kuwa ya kulevya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kigogo udom anaswa na madawa yadhaniwa kuwa ya kulevya

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by SOLOGWIGABA, Aug 28, 2011.

1. S

SOLOGWIGABA Member

#1
Aug 28, 2011
Joined: Aug 9, 2011
Messages: 22
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Jeshi la Polisi mkoa wa Dodoma linamshikiria Afisa utumishi wa chuo kikuu cha Dodoma@UDOM, P.LIPILI kwa tuhuma ya kupatikana na madawa yadhaniwayo kuwa ya kulevyo.Chanzo cha habari hii kimeeleza kuwa Afisa huyo alikamatwa jana tarehe 27.08.2001 majira usiku wa manane akiwa na pipi zidhaniwazo kuwa madawa ya kulevyo.Tutaendelea kufahamishana maendeleo ya mkasa huu.

2. Engager

Engager JF-Expert Member

#2
Aug 28, 2011
Joined: Jan 12, 2011
Messages: 329
Likes Received: 10
Trophy Points: 35
Source plz

3. B

Bajabiri JF-Expert Member

#3
Aug 28, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0

akirud atakwambia,ila maelezo yake ya mwisho yanaonesha kuwa sosi ni yeye,,,,,,hivi jk akitaja hesabu za megawati huwa anataja sosi?????mbona mnamnukuu akodingli

4. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#4
Aug 28, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,971
Likes Received: 2,967
Trophy Points: 280
Toa detail zake zote. Jina na cheo chake plz.

5. hengo

hengo JF-Expert Member

#5
Aug 28, 2011
Joined: Jun 6, 2011
Messages: 403
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
PRIVATUS LIPILI,Afisa utumishi.Source ni taarifa kutoka ndani ya Jeshi hilo.

6. S

SOLOGWIGABA Member

#6
Aug 28, 2011
Joined: Aug 9, 2011
Messages: 22
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Taarifa toka ndani ya Jeshi hilo

7. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#7
Aug 29, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,971
Likes Received: 2,967
Trophy Points: 280

thnx. Utaendelea ku2juza ss wana JF

Loading...