hizi simu hizi kero tupu

Kweli tupu Bosi wangu,

Usipopokea hata kama hukuisikia kesi, ukichelewa kuipokea kesi, usipoibeba kesi, ukiizima (ikizima kisa chaji) kesi, ikiita ukatoka nje kuongea kesi, usipopiga hata kama umebanwa na majukumu kesi, ukijibu msg kwa maneno mawili hivi kesi, kesi kero, kesi, kero....

Basi tu nimeizoea vibaya, ningeshaitupa long taim
Jamani wadau hii imekaaje katika mahusiano?Eti ukiwa na mpenzi wako(she) halafu kwa hali isiyo ya kawaida ikatokea maporomoko ya hapa na pale ,then yeye akaanza kukupiga mkwara usiiguse simu yake na akiwa home muda wote ameishikilia mkononi(yaani akiwa anapika,akiwa sebuleni ,mkiwa chumbani muda wa kulala na hata akienda chooni), halafu kingine mkiwa naye kwenye gari labda yenu ya private ikitokea ameiweka mahali basi itafunikwa na leso au hata kuweka pochi juu yake,Je kwa hili ni hatua gani bora za kufuata au kuchukua?????

piga chini, tafuta ustaraabu mwingine. hapo utaingia choo cha kike ushindwe pa kutokea

Kweli tupu Bosi wangu,

Usipopokea hata kama hukuisikia kesi, ukichelewa kuipokea kesi, usipoibeba kesi, ukiizima (ikizima kisa chaji) kesi, ikiita ukatoka nje kuongea kesi, usipopiga hata kama umebanwa na majukumu kesi, ukijibu msg kwa maneno mawili hivi kesi, kesi kero, kesi, kero....

Basi tu nimeizoea vibaya, ningeshaitupa long taim
Kweli mkuu ulichoandika.ikibeep namba ngen kes,tafadhal nipigie au naomba salio kwa no ambayo hujasave kwa jina kes,yaan cm kwnye ndoa now day problem tupu,ukiliza why?oooh nyie wanaume cku hizi hamuaminiki
aisee! Kuna ukweli hapa Gurta......Ndugu mwenye thread kwa maelezo yako tu naomba nikupe pole,hapo kuna hila tafakari chukua hatua.