Nchi zote duniani hupata viongozi wanaozistahili. Mkiwa na kiongozi mzuri ni kwa kuwa ndiyo stahili yenu. Vivyo hivyo mkiwa na viongozi wezi wanaojali matumbo yao ndiyo stahili yenu! Na sababu ni ndogo tu. Kwa kuwa mnakubali hali hiyo! kama Arusha yameanza kuonyesha njia.
Please do not compare him the Sokoine. He was from another planet. Mtoto wa mkulima amekataa gari la kifahari. Lakini ni mtoto wa mkulima huyo huyo mwenye dhamana ya kuadhinisha ununuzi wa magari hayo. Angekataa kuadhinisha in the first place!
UDOM is going to be the best University in Tanzania. Hii itachukua muda lakini si zaidi ya miaka kati ya mitano mpaka kumi ijayo. Haya mengine ni upuuzi tu. Sijui udini na ujinga mwingine wa aina hiyo. Mfano wa UDOM katika Afrika nzima uko wapi? Watanzania tumezoea eti kwenda kujifunza kwa...
What matters to me is the size of the cabinet. An overbloated cabinet is very expensive. We do need some experienced people among them but not an enviromentally friendly cabinet with a lot of recycled ministers from Nyerere/Mwinyi era. Wape vijana wachache wachape kazi
Wapo waandishi wenye kujali taaluma yao hapa Tanzania. Wapo akina Ulimwengu, Johnson Mbwambo, nk Pia walikuwepo akina Katabaro tena enzi hizo ya vigazeti vichache vyenye kujikomba kwa wakubwa!!
Jamani si kwamba tu tunahitaji muundo mpya wa Tume huru, bali hata katika hiyo tume tunahitaji vijana kama tulivyo pata wengi katika ubunge. Akina mzee Lewis Makame muda wao umepita. Ni jamii ya ya akina Kivuitu hao! Wanalinda maslahi ya waliowaweka hapo!
Fikiria tu mtu kama Halima Mdee ni...
Ni faraja kubwa sana kwamba watu kama Generali Umlimwengu bado wapo Tanzania. Ni mtu aliye tayari kutetea kile anacho amini kuwa ni sahihi hata walitaka kumtisha na mambo ya uraia. Ana uzalendo na nchi hii kuliko huyo mtu aliye fanya uharamia wa kumnyima uraia.
Dr Slaa amefika hapo alipo kwa sababu anastahili. Kama safari hii upinzani haujafanikiwa bado kuna kazi kubwa kuwaandaa wananchi kwa ajili ya uchaguzi wa 2015. Kwa CCM sitegemei mabadiliko yoyote ni ufisadi kwa kwenda mbele. Sasa ni nani bora wa kuhamasisha watanzania kwa vitendo kama si Dr...
Fina Mango ana uwezo mkubwa wa kuchambua mambo na uelelewa wake ni mpana. Toka aondoke sina hamu kabisa ni hiyo power breakfast!! Namshauri aingie kwenye anga za vipindi kama Talk Show awe ndiyo Oprah wetu. Ajaribu kuishawishi station moja ya TV
TCU wajiweke sawa katika masuala ya tecknologia ya mawasiliano (ICT) ili kufanikisha mambo yao. Matokeo yanatoka kwao lakini wao wenyewe hawawezi kuyaweka. Mtu inabidi apekue chuo kimoja baada ya kiingine ili ajue kapata wapi. Inaelekea hata server yao haina uwezo kabisa. Nahisi kitengo chao...
Ndugu Gama, SAUT wametoa majina ya waliochaguliwa kujiunga na chuo chao tu. Ningetegemea vyuo vingine afuate mfano huo na msongamano website ya TCU usingekuwepo.
Baada ya kuhairisha kutoa majina ya waliochaguliwa kuingia vikuu kwa mwezi mmoja sasa TCU wameanza lakini kwa matatizo makubwa. Website yao haipatikani kabisa uwe nje au ndani ya Tanzania. Kwa nini wasitumie ujanja wa baraza la mitihani la taifa, NECTA ambao huweka matokeo sehemu mbalimbali ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.