Ushauri wa bure kwa Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wa bure kwa Slaa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kishongo, Nov 2, 2010.

 1. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mhe Slaa,

  Umejitahidi sana kuongeza changamoto katika medani za kisiasa Tanzania. Umeipandisha chati Chadema na huenda wewe kama mgombea wake ukapata 20% ambayo itakuwa ni historia kwa chama na nchi yetu.

  Ushauri wangu ni kwamba umefika wakati sasa upumzike (ung'atuke) siasa ili kutunza heshma iliyopatikana. Waachie vijana ili kuepuka yaliyowapata wakongwe wa ccm. Vijana wapya walioingia Bungeni wanaweza kuipandisha Chadema hadi 30% uchaguzi ujao 2015 inshaalah.

  Kwa heshma nawasilisha.
   
 2. s

  smwansasu Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dr Slaa amefika hapo alipo kwa sababu anastahili. Kama safari hii upinzani haujafanikiwa bado kuna kazi kubwa kuwaandaa wananchi kwa ajili ya uchaguzi wa 2015. Kwa CCM sitegemei mabadiliko yoyote ni ufisadi kwa kwenda mbele. Sasa ni nani bora wa kuhamasisha watanzania kwa vitendo kama si Dr. Slaa? Wazo la kusema apumzike lina ajenda ya siri. Wenye macho tumeona!
   
 3. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mafisadi wa ccm mnatia hasira nyie k#$&*(%&*($(w&(&($&($ zenu
   
 4. October

  October JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Why don't you keep your comments to yourself?
   
 5. Ngigana

  Ngigana JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 180
  Jamani Kingunge, Malecela, Getrude Mongella hujawaona ukawapa ushauri huo umemwona Dr. Slaa? Hao ulitakiwa uwape ushauri huu mapema:doh:
   
 6. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  "CCM sii Oxygen"...nimeipenda sana hii comment!
   
 7. zeus

  zeus JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  tena huyu hakupiga kura.hizo % unaiztoa wapi? "heshima iliyopatikana", unafahamu vipi kwamba hawezi kuleta heshima zaidi? huo ni woga. baada ya kuona jinsi dk slaa alivyohamasisha wananchi kuondokana na kudanganywa na kudharauliwa na ccm unaogopa kwamba ataleta madhara zaidi kwa ccm huko mbeleni. huu ni mwanzo tu na safari inaendelea.....na ccm ndio ipo kwenye brink of extinction.wamechimba kisima sasa unategemea nini? wataingia wenyewe! kama ungekuwa wimbo ndio wimbo unaishia hivyo mzee...amini masikio na macho yako.
   
 8. mdoe

  mdoe JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 436
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33  he he he he he.. Wanamuogopa haoooooo. Bado.. atawafanya mengi.. wait.
   
 9. admissionletter

  admissionletter Senior Member

  #9
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Vikongwe wa CCM hawana hoja mpya. President Slaa ana ideas mpya na mengi ya kufanya
   
 10. chokambayaa

  chokambayaa JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 528
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Comment ya Kijinga kabisa!!!!!!!, enewei hayo ni mawazo yako ya kifisadi
  Dr Slaa BIG UP, bado tunakuhitaji sana kwani kazi bado haijaisha haka ni ka trailer tuu
  the whole movie will be 2015 Mtafute pa kukimbilia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 11. telele

  telele Member

  #11
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 4, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hivi huoni hata aibu baba zima unakuja na ushauri wako wa kibwege kama huu? hiyo ailimia 20% umeitoa wapi? nyie ndio wezi wa kura zetu nyie!! unamfananisha mpambanaji wetu na wakongwe wa ccm? wewe m*&%$ nini?
   
 12. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #12
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Huu si uwanja wa mashoga hoja zako kawakilishe LUMUMBA.
   
 13. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mh!umetumwa?
   
 14. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ushauri wako wa kipuuuzi
   
 15. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  bado hao kwenye nyekundu tunawahitaji + mwantumu mahiza.. naona raisi wetu Doc JK.. atawateua kuwa wabunge na kuwa uwaziri
   
 16. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  tumbafu kabisa!
   
 17. M

  Mundu JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Hivi kuna neno lingine baya zaidi ya CRAP?
   
 18. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  Mzee unatokea GESTi hujaoga nini ! hebu tuondolee nuksi haraka.
   
 19. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tuheshimiane wana forum. Tuache matusi.

  Huu ni ushauri tu ,unaweza kukubalika au kukataliwa.
  Ila naamini ni ushauri mzuri, akiupuuza matokeo yataonekana na Chadema itaathirika.

  Acheni hasira tunapomshauri kiongozi.
   
 20. C

  Chesty JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 2,350
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Una posts 77 na huna thanks hata moja. That tells me what kind of a person you are.

  Dr. Slaa hana uchu wa madaraka kama Dokta(mjanjamjanja) Mkwere. Slaa yupo kwa ajili ya taifa lake na sio kwa ajili yake binafsi na ndio maana kupitia yeye CCM wanagaragazwa mchana kweupeeee tena na watoto wadogo sana.

  Dr. Slaa kaanzisha marathon ya mapambano dhidi ya mkoloni mweusi na vizazi vyote vinamfuata baada ya hapa.

  Tatizo langu ni kuwa hawa wanafunzi waliokataliwa wasipige kura nna uhakika mwaka 2015 wengi wao watakuwa mitaani wakiwa na hasira ya kukataliwa na pia watakuwepo wengi tu huko kwenye vyuo ambavyo vinazaliwa kila siku. Ni kwamba CCM wameahirisha kimbunga, kingine kipo njiani kinajikusanya.

  Hakuna bati ambalo halitaezuliwa.
   
Loading...