UDOM na U-CCM

huna maana ww unayesoma jangwani what iz udom kwanza umeshasikia mhadhiri yeyote wa udom kaulizwa kuhusu maoni ya uchaguzi?

Pumba ya mwaka....!!!!!!
unauliza what is UDOM???
Sidhani hata kama umemaliza la saba wewe, kuulizwa kuhusu uchaguzi ili nini, kwani hao unaowaona huwa wanafuatwa au wanaenda wenyewe kwenye vyombo vya habari kuzungumza?? By the way UDOM ipo juu na itaendelea kuwa juu, kama huamini kufa..
 
Ukweli ni kwamba UDOM ni chuo cha serikali kama vilivyo udsm, sua, mzumbe, ushirika, mipango na vingine na hata wanafunzi wake wengi wanamtazamo HASI dhidi ya serikali. Tatizo viongozi wa juu wa chuo wanatumiwa na chuo kukifanya chuo kionekane kinatii miongozo ya chama lakini ukweli ni kwamba wana udom hawaiungi mkono ccm kiasi kile ambacho watu wanafikiria ndiyo maana hata kata ya dodoma-makulu ambako chuo cha udom kimejengwa imechukuliwa na diwani wa chadema!
 
Kama Mkapa aliweza wapa waislam Majengo Ya TANESCO kwanini Kikwete asiwape UDOM?
 
Wengi wamekuwa wakiongea mengi kuhusu UDOM na CCM sasa ninachojiuliza sijui hivyo vyuo vingine vya serikali ni vya TLP, APPT Maendeleo, Demokrasia Makini au Jahazi!!!
Naomba wana JF wenzangu tuelewane kuwa UDOM ni chuo kikuu cha serikali kama vilivyo vyuo vingine vikuu vya serikali. Juu ya mitazamo na itikadi za wanachuo zipo tofauti. Kila chuo kuna wana CCM, CHADEMA au chama chochote cha siasa.
NAJIVUNIA KUWA MWANAFUNZI WA UDOM nimezipokea changamoto na kuzikabili.

Bado unaendeleza kampeni?
 
Tatizo lipo kwny uongozi wa juu wa UDOM. Mkapa,Bilal,Kikula,Mlacha,Kinabo,Mama Sawasawa na Ame wote ni makada ya CCM. Ivyo UDOM kinakua ni njia ya wao kudhiirisha ukada wao. Mfano, wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu,mkwere alivyoenda Dodoma,Mlacha alitoa yale mabasi meupe ya kichina,mali za chuo ili yabebe wafanyakazi wakahudhurie mahubiri ya mkwere. Alipoenda kamanda Slaa,kuna wafanyakazi wakamfuata the same Mlacha ili atoe mabasi wafanyakazi waende kusikiliza hoja na sera za ukweli,wakaulizwa "mnataka kazi au?" Ivyo tatizo ni uongozi unajipendekeza kwa mkwere (Kikula anastaafu mwezi huu,so anataka hata ka nafasi ka ubalozi au ukatibu mkuu).
 
ALITOA HADI MABASI? HII SASA BALAA...SO CONFIRMED THAT UDOM na U-CCM
 
tumepondana kwa itikadi,za KISIASA na DINI tumeona haitoshi sasa tunapondana KIELIMU,kweli huko mbele tutalipoteza taifa na sijui hata maofisini tutabaguana kati ya watu waliosoma UDSM na UDOM,ila namshukuru MUNGU na degree yangu ya BEDCOM kutoka UDOM,
 
UDOM is going to be the best University in Tanzania. Hii itachukua muda lakini si zaidi ya miaka kati ya mitano mpaka kumi ijayo. Haya mengine ni upuuzi tu. Sijui udini na ujinga mwingine wa aina hiyo. Mfano wa UDOM katika Afrika nzima uko wapi? Watanzania tumezoea eti kwenda kujifunza kwa wenzetu. kwa UDOM watakuja wengi kujifunza Tanzania. Tujivunie chetu jamani. Kimeanzishwa na sisi wenyewe, kwa hela zetu, kwa kutumia wataalam wetu wenyewe. Uongozi wa UDOM usiwengeweza kuwa bora zaidi ya ulivyo. Wasomi sawa lakini pia wazalendo wanaopenda nchi yao!
 
HUWA NABOREKA SANA KUONA WASOMI WANAVYOPAPATIKIA VIELFU TANO VYA CCM KWENYE MIKUTANO...HASA WA UDOM...JAMAN NJAAA MBAYA SANA......MNAZIDI KUUZA NCHI...WADANGANYIKA....:A S-danger:
 
Wengi wamekuwa wakiongea mengi kuhusu UDOM na CCM sasa ninachojiuliza sijui hivyo vyuo vingine vya serikali ni vya TLP, APPT Maendeleo, Demokrasia Makini au Jahazi!!!
Naomba wana JF wenzangu tuelewane kuwa UDOM ni chuo kikuu cha serikali kama vilivyo vyuo vingine vikuu vya serikali. Juu ya mitazamo na itikadi za wanachuo zipo tofauti. Kila chuo kuna wana CCM, CHADEMA au chama chochote cha siasa.
NAJIVUNIA KUWA MWANAFUNZI WA UDOM nimezipokea changamoto na kuzikabili.
Jiulize........kwa nini vyuo vingine havijawahi kutuhumiwa kuwa ni vya ki-CCM......???
1. Mlichanga Tshs. 1M ili JK akachukuwe fomu ya kugombea uraisi............HAMJAWAHI KUFANYA HIVYO KWA CHAMA CHOCHOTE KINGINE
2. Mlitoa tamko kuwa mnalaani kitendo cha wabunge wa CDM kutoka Bungeni........... lakini hamkusema lolote pale CUF walipokuwa hawamtambui rais wa Zenji..........
3. Kila mwana-CCM anapotamba juu ya uanzishwaji wa chuo hicho hakuna anayepinga....................
etc................

Kwa hayo na mengine kwa nini TUSIAMINI KUWA MNATUMIWA....???
 
tumepondana kwa itikadi,za KISIASA na DINI tumeona haitoshi sasa tunapondana KIELIMU,kweli huko mbele tutalipoteza taifa na sijui hata maofisini tutabaguana kati ya watu waliosoma UDSM na UDOM,ila namshukuru MUNGU na degree yangu ya BEDCOM kutoka UDOM,
Sababu za kuwapondeni kielimu si unaziju...............??? Mmezidi u-CCM utafikiri ni chuo cha CCM....... kinachotoa "DEGREE YA KITANDA CHA MAWASILIANO.............. bedcom."!!!
 
Unawasomo wajinga hao! Eti huyo hapo juu anasema majengo tu ni ya CCM! Sasa majengo yakiwa niya CCM hata akili yako inabakwa ki CCM?! Hebu anza kujitegemea kujitegemea kifkra acha kutia aibu wana UDOM wenzio!! Umefauli kwa akili yako kweli wewe au nafasi ya upendeleo?!
 
Wengi wamekuwa wakiongea mengi kuhusu UDOM na CCM sasa ninachojiuliza sijui hivyo vyuo vingine vya serikali ni vya TLP, APPT Maendeleo, Demokrasia Makini au Jahazi!!!
Naomba wana JF wenzangu tuelewane kuwa UDOM ni chuo kikuu cha serikali kama vilivyo vyuo vingine vikuu vya serikali. Juu ya mitazamo na itikadi za wanachuo zipo tofauti. Kila chuo kuna wana CCM, CHADEMA au chama chochote cha siasa.
NAJIVUNIA KUWA MWANAFUNZI WA UDOM nimezipokea changamoto na kuzikabili.

"You can fool some people sometimes, but you can't fool all the people all the times"
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom