Opportunist
Member
- Mar 19, 2009
- 17
- 12
Juzi ama jana ni kama nilisikia sauti ya Fina Mango ktk kipindi cha Power Breakfast? Karudi tena Clouds FM?
Mkuu, at least uwe na uhakika na japo kitu kimoja kati ya vingi unavyosema au kuuliza!...ona hapo kwenye rangi unavyobahatisha!Juzi ama jana ni kama nilisikia sauti ya Fina Mango ktk kipindi cha Power Breakfast? Karudi tena Clouds FM?
Mkuu, at least uwe na uhakika na japo kitu kimoja kati ya vingi unavyosema au kuuliza!...ona hapo kwenye rangi unavyobahatisha!
Juzi ama jana ni kama nilisikia sauti ya Fina Mango ktk kipindi cha Power Breakfast? Karudi tena Clouds FM?
hajarudi, palikua na reunion
vipi unataka arudi?
mimi pia nilisikia hiyo sauti ila sina uhakika kama ni jana au juzi ila kukujibu ni kwamba yule anaitwa Seven na huwa anafanya kazi MTV kama sikosei......sina uhakika:wink2:
Yupo dada mgeni. Fina hawezi kupooza vile
na me sina uhakika kama karudi au la ila nilickia sauti yake ila cna uhakika kama ni yake
Nusu ya wachangiaji hawajui,wanahisi,wanadhani,hawana uhakika,hawakumbuki,kama hawakosei WTF!!!