Recent content by Smart Contract

  1. Smart Contract

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa mahusiano mengi ya kimapenzi unatisha, wanaume tuwe macho

    Mtajua masimp si wengine tunapiga tunatembea tena kupiga tunamuweka ndani week nzima anapika anafanya usafi anatmbw then unamtafutia sababu asepe na simrudii
  2. Smart Contract

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    We jamaa kama ni mwanamke utakua umeachika na kama ni mwanaume turudishie korodani zetu unawashwa washwa sana, kama mwisho wa mwezi haukuhusu huu Uzi unaufuatilia nini
  3. Smart Contract

    JamiiForums Tanzania Picha Halisi ya Bwana wetu Yesu Kristu.

    Hiyo ni picha ya Ciser Bourgie na alikuwa shoga ilichorwa na bwana ake ambaye ni da Vinci eti ndo inatumika kumrepresent bwana enu mnaomuita yesu
  4. Smart Contract

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Dah hii weekend ya kinyonge kinyama
  5. Smart Contract

    JamiiForums Tanzania YouTube kwisha Habari yake imepata mpinzani balaa

    Yaani anime na gaming ndo umeona vitu vya maana vya kuishindana na mkongwe mwenye Kila aina ya content hebu kuwa kiakili
  6. Smart Contract

    JamiiForums Tanzania Mume mchumba anatafutwa

    So desperate
  7. Smart Contract

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Dah umenitangulia kuuliza wajuzi tupeni taratibu watu tufanye maamuzi
  8. Smart Contract

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Jumatatu watatuua mkuu
  9. Smart Contract

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Braza we ukiongeaga nikiangalia salio nakuta kweli, ngoja nicheki balance
  10. Smart Contract

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Hawa CRDB vipi au ndo wanakalukuleti wakipiga sh. Kumi kumi kwa watumishi wote watapata bei gani
  11. Smart Contract

    JamiiForums Tanzania Utafiti wangu: Watoto wa kati kati katika uzao wamejaa matukio sana

    Hapo kihivyo nimetia chumvi kidogo
  12. Smart Contract

    JamiiForums Tanzania Utafiti wangu: Watoto wa kati kati katika uzao wamejaa matukio sana

    Uko sahihi asee si kwetu wa5 ila mi ndo wa katikati yaani wa3 sifa zote ulizotaja ninazo kasoro ya uchangamfu nyumbani mi ni introvert ila nikiwa mtaani na marafiki tuloshibana nachangamsha kijiwe mpaka wasiponiona wanakuja kuniulizia home, Hapo ndo bi mkubwa huwa anachoka yaani huyu na ukimya...
  13. Smart Contract

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Maulidi ni Jumanne kwa hiyo leo ikipita kavu, Jumatatu pia ni siku ya kazi sema kutakuwa na kazi kufika kazini wengi najua watausubiri nyumbani ili waunganishe na Maulidini Hata mi ntafanya hivyo siwezi kudunda na kikoti cha suti afu tumbo linaunguruma hovyo
  14. Smart Contract

    JamiiForums Tanzania Katika biashara mbaya zaidi duniani ni ya madawa ya kulevya. Haitaki utani kabisa

    Katika biashara sijui na sina hata story zake zaidi ya movie za kimexico ni hii, kipindi naanza shule dar miaka ya 20s nilikuwa nikiwaona mateja wanavyotema udende na kusinzia dah, nilimwambia Mungu pombe nakunywa, kush sawa ila kikombe hiki kiniepuke
Back
Top Bottom