Shangaa na weweYaani kama ameweza "kumiliki nyumba mbili Oysterbay ya JF" ndiyo ashindwe USA? AY mwenyewe ana nyumba USA ,EBM Makulilo ana nyumba USA tena ya ghorofa!! Ukiuza kiwanja tu k/koo unanua nyumba US tena beach front.
Yaani mimi nina nyumba mbili tena UK ambako ni ghali kuliko US, moja nimemaliza mortgage, nyingine inajilipa na wapangaji., halafu kila nikirudi bongo huwa napita Oysterbay huwa naumia sana na kusema I wish, maana bei zao ukiulizia mara kumi ya nyumba zangu mbili UK.
Mind you baba mkwe anaishi mwisho wa Kimweri na Uganda road kule kunako kutana na msasani, siku moja tunatoka ilikuwa kama miaka 5 nyuma, akajifanya kujimwambafy basi akasisima pale kabla ya kilima nyege Haile Sellasie road bado kuna viwanja vimezungushiwa, akajifanya kumuita mlinzi, akamuuliza akisie tu ni ngapi viwanja vinauzwa, aliambiwa dola milioni 5, macho yalimtoka.