Recent content by Slim

  1. Slim

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais mpya wa Tanzania?

    au Mwanri :D
  2. Slim

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais mpya wa Tanzania?

    lukuvi
  3. Slim

    JamiiForums Tanzania VODACOM Arusha Njiro Bendera Saba, mtandao haupatikani

    washatupa loss
  4. Slim

    JamiiForums Tanzania VODACOM Arusha Njiro Bendera Saba, mtandao haupatikani

    Mtandao Vodacom una shida huku unasoma emergency shida ni Mimi au?
  5. Slim

    JamiiForums Tanzania Wapi Arusha naweza kupata shamba kwa bei ya milioni moja kwa ekari?

    manyara yapo kama utahitaji safi kabisa
  6. Slim

    JamiiForums Tanzania Kuna maisha baada ya kifo au tukifa ndio mwisho wa kila kitu

    ni circle ukifa anazaliwa mwingine exactly mwenye gins zako kwahiyo ndio hivyo hiyo ndio Siri kubwa until then na ukitaka kujua fuatilia kikazi chako cha mama au baba koo hutomaliza ..... kamwe meaning yaani baba yako alikuwa na baba yake na babu yako alikuwa na baba yake etc... fuata hivyo kama...
  7. Slim

    JamiiForums Tanzania Madhara ya unywaji wa Pombe

    neno pombe Swahili word asili yake wapi usukumani au?
  8. Slim

    JamiiForums Tanzania Madhara ya unywaji wa Pombe

    muogope mtu anayekunywa pombe mwenyewe ana maumivu mengi sana afu pombe inachangia sana kuharibu u bongo wa mtu unakuta mtu anakunywa pombe sana Leo kesho hakumbuki kitu lakini mlipanga vitu vingi vya msingi na ideas za ushindi
  9. Slim

    JamiiForums Tanzania Madhara ya unywaji wa Pombe

    so kila jamii ya kistaarabu pombe ilitumika kwa maana Fulani sio kuharibu
  10. Slim

    JamiiForums Tanzania Madhara ya unywaji wa Pombe

    nafanya kazi na wenzetu wazungu wako makini sana pombe kwao ni part of celebration au furaha Fulani hivi na ukienda China kama unataka mke ukienda kwa wakwe lazima ukatie kidogo mpige stories ili wakujue vizuri:D
  11. Slim

    JamiiForums Tanzania Madhara ya unywaji wa Pombe

    pombe ni nzuri ikiwa kwa kiasi maisha yamebadilika sana watu wanapitia changamoto nyingi sana nadhani hata aliegundua pombe alijua pombe ipi nzuri na ipi mbaya cha msingi ni kuwa makini tu sisi tumelelewa na Mzee wetu alikuwa mkali sana lakini akilewa mtakula chochote mnachotaka na mtacheza...
  12. Slim

    JamiiForums Tanzania Rafiki Wa kike anahitajika kuanzia miaka 35 kuendelea tuienjoy tu akiwa sio mwanasiasa itakuwa vizuri zaidi dm me

    urafiki ni upendo, mawazo na utulivu.
  13. Slim

    JamiiForums Tanzania Una Laptop Mbovu, Iliyochakaa au Usiyoitumia? Niuzie Pesa Taslimu

    unachukua chromebook Samsung?
  14. Slim

    JamiiForums Tanzania Ni lafudhi gani unaipenda katika makabila ya Tanzania?

    ukute mchaga afu ana kithembe duh
Back
Top Bottom