Madhara ya unywaji wa Pombe

Madhara ya unywaji wa Pombe

Hizo ni long term watu wanaogopa hizi ishu ndogo ndogo ulewe udinye mtoto wa mtu condom utasema haina utamu utavua unapata umeme unakutembeza chaap
 
muogope mtu anayekunywa pombe mwenyewe ana maumivu mengi sana afu pombe inachangia sana kuharibu u bongo wa mtu unakuta mtu anakunywa pombe sana Leo kesho hakumbuki kitu lakini mlipanga vitu vingi vya msingi na ideas za ushindi
 
nafanya kazi na wenzetu wazungu wako makini sana pombe kwao ni part of celebration au furaha Fulani hivi na ukienda China kama unataka mke ukienda kwa wakwe lazima ukatie kidogo mpige stories ili wakujue vizuri😀
Wakuone kama ulilewa ni mtambo!
 
Madhara ya unywaji wa pombe:

  • Uharibifu wa ini (fatty liver, hepatitis, cirrhosis)
  • Saratani ya ini, koo, umio, matiti, na sehemu nyingine za mwili
  • Magonjwa ya moyo na shinikizo la damu
  • Uharibifu wa ubongo na kupungua kwa kumbukumbu
  • Uraibu (ulevi wa kudumu / addiction)
  • Kudhoofisha mfumo wa kinga ya mwili
  • Matatizo ya kiafya ya akili (msongo wa mawazo, wasiwasi, mfadhaiko)
  • Kuharibu uwezo wa uzazi na nguvu za kiume
  • Hatari kwa mimba (mtoto kuzaliwa na matatizo ya kimaumbile - Fetal Alcohol Syndrome)
  • Kuongeza hatari ya ajali (barabarani, kazini, nyumbani)
  • Kudhoofisha uamuzi na tabia hatarishi (ngono zisizo salama, ugomvi)
  • Uharibifu wa kongosho (pancreatitis)
  • Kupungua kwa uwezo wa mwili kupambana na maambukizi
  • Matatizo ya usingizi
  • Kuongeza uzito kupitia kalori nyingi zisizo na virutubisho
  • Migogoro ya kifamilia na kijamii kutokana na ulevi
  • Vifo vinavyotokana na overdose au sumu ya pombe (alcohol poisoning)
Tatizo watu wabishi sana.
 
Wanasema pombe inakadiriwa iligunduliwa 130000 iliyo pita , hizo notes bado hazitoshei kuipa heshima yake pombe bwashee
Nachojua kila kitu kina madhara cha msingi ni kuzingatia kiasi na pia mazoezi ya mwili ni muhimu na kula kiafya.
 
Back
Top Bottom