min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,940
- 166,009
Mwana wa uasi kizazi cha nyoka kabisaUna nini nasi wewe muovu, kwanini uzi huu siku ya leo furahiday?
Mwana wa uasi kizazi cha nyoka kabisaUna nini nasi wewe muovu, kwanini uzi huu siku ya leo furahiday?
Inaweza kufanya hivyo ila mimi sijanywa mkuu🤣Hivi inapunguza hangover hiyo mkuu?
Ni baada ya muda gani hayo madhara yanayokea ?Madhara ya unywaji wa pombe:
- Uharibifu wa ini (fatty liver, hepatitis, cirrhosis)
- Saratani ya ini, koo, umio, matiti, na sehemu nyingine za mwili
- Magonjwa ya moyo na shinikizo la damu
- Uharibifu wa ubongo na kupungua kwa kumbukumbu
- Uraibu (ulevi wa kudumu / addiction)
- Kudhoofisha mfumo wa kinga ya mwili
- Matatizo ya kiafya ya akili (msongo wa mawazo, wasiwasi, mfadhaiko)
- Kuharibu uwezo wa uzazi na nguvu za kiume
- Hatari kwa mimba (mtoto kuzaliwa na matatizo ya kimaumbile - Fetal Alcohol Syndrome)
- Kuongeza hatari ya ajali (barabarani, kazini, nyumbani)
- Kudhoofisha uamuzi na tabia hatarishi (ngono zisizo salama, ugomvi)
- Uharibifu wa kongosho (pancreatitis)
- Kupungua kwa uwezo wa mwili kupambana na maambukizi
- Matatizo ya usingizi
- Kuongeza uzito kupitia kalori nyingi zisizo na virutubisho
- Migogoro ya kifamilia na kijamii kutokana na ulevi
- Vifo vinavyotokana na overdose au sumu ya pombe (alcohol poisoning)
Msesewe una ondoa cholesterol bwashee😅Ni baada ya muda gani hayo madhara yanayokea ?
Maana kijijini kwetu kule kuna wazee wa miaka 90 wanakunywa pombe tokea ujana wao.
Kwa lugha rahisi ana miaka zaidi ya 50 tokea aanze kunywa pombe na yupo fiti kiafya.
Inamaana bwashee jana haukupata vitu vyetu vile?Inaweza kufanya hivyo ila mimi sijanywa mkuu🤣
Hivi kumbee, mi nilijua ni ya kuongeza stim tu.Msesewe una ondoa cholesterol bwashee😅
Hahaha hapana bwashee mara moja kwa wiki au moja kwa wiki mbili tu🤣Inamaana bwashee jana haukupata vitu vyetu vile?
ExactlyMawazo yake na Yako na Yaheshimiwe!
Kama ni hivyo bwashee basi wewe ni mnywaji na si mlevi kama wanavyokuhisiHahaha hapana bwashee mara moja kwa wiki au moja kwa wiki mbili tu🤣
Pamoja nakuongeza stimu inakata cholestrol , na kubance sukari ndani ya kinywaji sanaHivi kumbee, mi nilijua ni ya kuongeza stim tu.
Kwamba mdomo unaongea kuliko Chupa inavyo shuka sio😅Kama ni hivyo bwashee basi wewe ni mnywaji na si mlevi kama wanavyokuhisi
Hakika bwashee, mi nikajua tunalewa kila sikuKwamba mdomo unaongea kuliko Chupa inavyo shuka sio😅
Hata kuchakata mbususu kuna madhara,Kuvuta sigara,Kutumia vipodozi,Kula chips mara kwa mara,Kunywa soda kwa wingi,Kula nyama nyekundu kunaua figi,chumvi nyingi nkMadhara ya unywaji wa pombe: