Ndugu zangu watanzania, mabibi na mabwana, vijana na watoto, huu ni usanii ulipitiliza, Je inaingia akilini mitambo yeye utata, mkataba uliokatishwa, kesi imenguruma na bado anadai fidia mitambo yake kuwashwa. Na huu ni kwa mkataba upi. Au ndo maana mhe. Kikwete kasafiri ili aje kusema simtabui...