Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 688
unatia kinyaa na upuuzi wako kweli we umefyatuka ujafikiriili kutibu majeraha ya dr slaa na wanachadema napendekeza dr kikwete kumpa ukuu wa wilaya dr slaa
wewe unapendekeza apewe cheo gani?

Ili kutibu majeraha ya Dr Slaa na wanachadema napendekeza DR Kikwete kumpa Ukuu wa wilaya Dr Slaa
Wewe unapendekeza apewe cheo gani?

Na tena wilaya yenyewe ya tandahimba ndio inamfaa
Unahitaji zaidi ya elimu ahera ili uweze kujitambua!
ndo mana Dr SLaa hana kazi mpka sasa?
Katibu Mkuu CHADEMA.
Ili kutibu majeraha ya Dr Slaa na wanachadema napendekeza DR Kikwete kumpa Ukuu wa wilaya Dr Slaa
Wewe unapendekeza apewe cheo gani?
Mimi napendekeza wewe ndiyo upewe Ukuu wa Mkoa kwa debe unalompigia JK. Dr. Slaa hana majeraha wala hajaanguka jukwaani kama JK au umesahau? Dr. haishi kwa kubahatisha wala kumtegemea mtu ndiyo maana ni Dr.