Makinda aanza kazi aliyotumwa

Hope chief whip wa CDM Mh Tundu Lissu atapambana kusimamia kanuni ambazo zinapindishwa na viongozi hawa mamluki waliopo madarakani kibiashara zaidi.
 
wakuu zile tetesi zimekuwa kweli...hoja hizo mbili zimetupwa kijanja eti suala la Dowans lipo mahakamani na na suala la Katba Raisi keshatoa maelekezo na yeye ni sehemu ya bunge! Je tutafika kweli kwa mtindo huu wa kuzimana Hoja? sasa bungeni wanaenda kujadili nini?

Hakuna la ajabu,hayo tuliyategemea.Kazi yenyewe kapewa na Rostam, sasa unategemea aende kinyume na boss wake?Na siunajua ile complex yake Rostam ndiye aliyemjengea?Huyo mama hana lolote,anakula na the Mafia.
 
Spika Anna makinda nimemshangaa sana kwa kutokuwa na msimamo.Kwa mara ya kwanza alisema hatakuwa tayri kubadili kanuni za bunge ili kumfavour hamad rashi na tukamwelewa.Sasa amekuja na hii ya jana kwamba anataka kuwafungisha ndoa ya lazima wapinzani.

Huu ndio udhaifu wa kanuni zetu huku Tanzania mabapo wakati mtu anaona kutokana na kusimamiwa kwa kanuni flani maslai yake yatakuwa yanapotea anakuwa tayari kubadili hata kanuni za bunge.

This is not fare.
 
Huu sio wakati wa uchamchama, ni wakati wa utaifa. anawaangusha wanawake wa Tanzania. I though she is going to be tha mother of the nation but aaaa.
 
Huyo mama hayuko pale kuwadhisha watanzania. Yuko pale kuwa ridhisha waliomweka.
 
ni mama mwenye jazba,asiye na upeo wa kupima hoja kwa maslahi ya taifa,...mm namfananisha na sophia simba vile.
 
Aisee sentensi yako tata, yaani nilikuwa nadhani tupo kwenye jukwaa la mapenzi.
 
mlifiki nini baada ya sita kutoswa? sasa itakula kwenu nyie mliofikiri bunge ni la wananchi.kifupi pale wabunge wote wa ccm waliingizwa na pesa zao kwa hiyo wanataka kurudisha mitaji na mikopo waliyokopa na mahali pakulipia ni kwenye mashirika ya uma sasa nyie chadema mnataka muingie huko wenyewe mkakabe hadi penati hiyo mikopo alipe nani?
pili hao wapinzani wa vyama vingine wao walishajihesabu kwamba ni mahausboy wa ccm kwamba watakula makombo tu sasa nyie mnakuja na sera ya kuikomboa nchi nani atawaelewa?
nchi ina wenyewe na wenyewe ndio hao wanapanga nani awe mpinzani wao nyie hana adabu kama ulimsikia spika anamwambia mdee unamtisha nani? na shivji aliwaambi kitu chochote chenye maslahi ya taifa kikiingia bungeni mjue mmeliwa.
 
Huu ndiyo wakati wa akina mama kupigiwa makofi :clap2:. Akishindwa kwa kukidhi matakwa ya waliomweka atakuwa amewadharaurisha akina mama wote. Kipimo cha akina mama kuelekea Uraisi ndo hiki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! :A S 20:
 
Back
Top Bottom