Recent content by simwitayusta

  1. S

    Njia 6 za kupunguza mionzi ya simu ya mkononi

    Thanks best for a great article! Barikiwa
  2. S

    Huu ni zaidi ya mkosi, wanaume nimewanyooshea mikono juu!

    Pole sana dada kwa yaliyokukuta but as far as umemuangalia huyu Mungu wetu atakushangaza am speaking from my experience niliumizwa nikalia sana kumbe Mungu alikuwa ameniandalia mume dhahabu ambayo mpaka sasa bado niko puzzled na huwa sijutii hata kidogo kwa kuumizwa kule mana kulifungua mlango...
  3. S

    Sauti ya "kike" inanisumbua usingizini

    Thats devils trick wake up and take serious prayers ndg yangu! Kumbuka kazi kubwa ya Ibilisi ni kuleta destruction hiyo ni njia ya kukamilisha mission yake ambayo itaambatana na kuharibu ndoa yako! Wake up stand firm kutana na watumishi wa Mungu uweze kufanyiwa effective prayers na wewe mwenyewe...
  4. S

    Ushauri: Mwenza wangu amenipigia simu Nusu Saa iliyopita, Eti Hanitaki Tena.

    Pole sana kwa yaliyokukuta ndg yangu nakushauri simama jivike moyo mkuu endelea na maisha yako ! Kwa wakati wake Mungu atakupa aliye wako na atasimama na wewe mpaka mwisho! You never know Mungu kakuepusha nini ingia magotini mshukuru Mungu kwa yote kisha mwachie yeye amlete wa kukufaa! We always...
  5. S

    Nikaona maiti zao..!

    Is my first time to read this ACHENI MUNGU AITWE MUNGU!
  6. S

    Mchumba wangu anatoka na baba yake mzazi, nifanyeje?

    mmmmh this is hectic kumbuka laana inafuata mpaka kizazi cha tatu na cha nne huyo dada anakutafutia laana kwa kizazi chako hafai kuwa mke ana pepo huyo tena anahitaji maombi ya nguvu afanyiwe deliverance!!!!!!!! Du kweli hiki kizazi cha nyoka baba yako????????????????????????+++ May God help!
  7. S

    Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Mimi sioni kama umri ni tatizo mana mimi mwenyewe nimemzidi umri mume wangu tho ni miezi sita tu but hilo kwetu halikuwa tatizo sana an I can tell you we are enjoying our marriage na tusipokwambia huwezi jua kuwa mi ni mkubwa kwake! Love and age are two diffrent issues and they never collerate...
  8. S

    Nafikiria kuishi hivi...... naomba ushauri.

    Dada nakushauri sana usifanye hayo unayotaka kufanya kikubwa muombe sana Mungu akuponye madonda yako kisha muombe akupe yule wa kufanana naye! A vivid example from I have been pasing through the same situation for some years lakini nilimulilia Mungu na amenipa wa kufanna naye na sasa niko ndani...
  9. S

    Nimeamua kutembea na binti wa Kazi, sina jinsi

    Unachokifanya ndg ni kosa kubwa mno ndoa haisuruhiswhi hivyo hapo ni shetani tu anacheza na akili zenu ili aimalize ndoa yako vzr kwa sababu mwishoo wa unachokifanya ni kuvunjika kwa hiyo ndoa au kupoteza furaha na amani unayoiona sasa cha msingi acha huo uchafu unaoufanya mrudie mkeo mtafuteni...
  10. S

    Zitto: Dr Ulimboka kutekwa, kupigwa na kuumizwa; Serikali inawajibika kutueleza

    Inaumiza sana jamani you cant think twice , oh my God where is Tanzania heading?
  11. S

    Siku Nilipomsikia Nyerere Akilitangazia Taifa Kifo Cha Edward Moringe Sokoine

    Its so sad and painful! Kwa sasa siyo rahis sana kupata kiongozi kama huyo mana wengi wanajua madaraka ni kujipaitia utajiri na siyo kuwatumikia waliowachagua! Eh Mungu isaidie Tanzanie !
  12. S

    Ndege ya Air Tanzania yapata ajali ikiwa na abiria 35 Kigoma, hakuna vifo

    The main issue selikari iko busy na chaguzi ndogo ndogo utilizing a lot of resources there sidhani kama kuna mtu anajishughulisha na hizi investment issues in our country! Shame upon us Kenya airways ina trade international wise wakati ya kwetu hata wilaya ya jirani haikupeleki!
  13. S

    Siwezi kumsamehe huyu siwezi!

    Just ignore na songa mbele na maisha yako I am facing the similar case tena mi wa kwangu kanizidi almost twenty years nimeamua kum ignore na kusonga mbele na maisha yangu ! Ukishindana naye unapoteza Muda! hata akuombee mabaya kiasi gani maisha yako yataenda kama Mungu alivyokupangia...
  14. S

    Zaidi ya wanafunzi 200 walazwa hospitali kwa kunywa uji wenye sumu.

    May the Almighty God intervene the situation Amen!
  15. S

    PICHA: Mapokezi ya Prof Lipumba; Afande sele atumbuiza

    Hii ni aibu kubwa mno kwa taifa ndo mana wazungu wanatudharau kila iitwapo leo!!!!!
Back
Top Bottom