Zaidi ya wanafunzi 200 walazwa hospitali kwa kunywa uji wenye sumu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zaidi ya wanafunzi 200 walazwa hospitali kwa kunywa uji wenye sumu.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by KIBURUDISHO, Mar 23, 2012.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Ni tukio lililotokea leo majira ya saa nne katika Shule ya msingi Park-Nyigoti Wilayani Serengeti Mkoani Mara.Tukio hilo limetokea baada ya ndoo moja iliyotumika kugawia uji kuwa na sumu ya kuulia wadudu katika pamba.Ndoo hiyo imefika shuleni na baadhi ya mwanafunzi mmoja aliyekuja nayo ikiwa ni sehemu ya kutekeleza maagizo ya mwalimu wa zamu kwa kila mwanafunzi kuja na ndoo ya maji.Mganga mkuu wa hospitali ya NYERERE DDH amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
  Source:Diwani wa kata hiyo na Mtendaji wa Kata hiyo.
   
 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Mhhh aise pole sana watoto wa Park
   
 3. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mungu awaponye haraka warudi masomoni.
   
 4. mwanamwana

  mwanamwana JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 446
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 180
  Mungu awanusuru wadogo zetu
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  MUNGU! Kwa hakika upo na unaweza yote,MUNGU waponye watoto wako hao waliopatwa na janga hili!
  Wapone mapema waweze kuingia ktk mchakato wao wa kila leo ktk masomo.

  MUNGU,wape nguvu Taifa letu la kesho.
  Pole wanafunzi wetu na hakika mtapata kupona na mwendelee na masomo.
   
 6. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Poleni watoto!!!
   
 7. s

  simwitayusta Member

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 11, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  May the Almighty God intervene the situation Amen!
   
Loading...