Mchumba wangu anatoka na baba yake mzazi, nifanyeje?

Hivi wewe unataka ushauri gaani tena hapa? Mwamuzi ni wewe bana. Ningelikuwa mm nisingefanya ajizi, ni kumwacha mara moja!
 
gmosha48 na dena amsi you are great thinkers..i salute you. Mie nimeisoma kisha nikaanza kuona hii ni hadithi ya kutunga na isiyoleta sense hata chembe....

ila mtunzi kachukuwa hisia za wadau kirahisi sana bila hata kushitukiwa... nahisi jf imeingiwa na ombwe la great thinkers..ina fastest writers or wengi wetu hatujiongezi kufikiria kwa kina.

ni maoni tuu.

Siongezi neno nitaharibu bure.......................
 
mmmmh this is hectic kumbuka laana inafuata mpaka kizazi cha tatu na cha nne huyo dada anakutafutia laana kwa kizazi chako hafai kuwa mke ana pepo huyo tena anahitaji maombi ya nguvu afanyiwe deliverance!!!!!!!! Du kweli hiki kizazi cha nyoka baba yako????????????????????????+++ May God help!
 
hebu tufanye mfano mtu anamshauri mtu aje atoke na mama yako utajisikiaje? Hebu tuwapeni heshima stahiki mama zetu. Wanahitaji zaidi heshima kuliko dharau ya kiwango hiki.

apawomi
 
wewe ni fundi fundisho lakini hapa unafundishwa kivitendo ila huelewi tu.kabla sijaenda mbali huyo binti hafai kivyovyote vile,hafai kwenye nyumba za ibada,hafai mizimuni wala popote ambapo hapafai matukio yasiyo ya kawaida.kuishi naye kwa kigezo cha kukuvumila kimaisha huku akitembea na babake ni kujiunganisha na nuksi na mikosi.pili huna wivu wewe maana ni dhahiri utashirikiana na mkweo kula mzigo,halafu huoni hiyo tayari ni laana.ukimuoa utajajuta maana unajaribu kujitwisha mzigo mzito saaaaaaaaaaaaaana.wacha kucheza na maisha kaka huyo hakufai kabisa kwa vigezo vyovyote vile labda vya kishetani.muogope kama kifo.
 
kwa dini ya kikristo hii ni laana kubwa sana ambayo kwa taratibu za agano la kale ilitakiwa baba na bintiye wote wachomwe moto mbele ya watu...lakini kwa sasa ile laana huwa inaingia kwenye ukoo wako...hata kama ataacha ni rahisi kwa either mtoto wako wa kiume akiwa mkubwa kuanza kumchukua mama yake au watoto wako wa kike kuchukuliwa na wakwe zao this is possible...
cha msingi piga chini huyo demu tafuta mtu mwingine japo ni chungu kumeza ila ndio dawa.......
 
hakufai huyo achana nae kabisa, angekuwa anakupenda asingekusaliti tena na babayake.
 
Siongezi neno nitaharibu bure.......................
wakati mwingine ukijua sana unajizuia kujua zaidi,hadithi ya huyu jamaa inafanana na moja ya ukweli kabisa ilitokea na inaendelea kutokea mpaka leo maeneo ya boko ccm,pale kuna mzee mmoja ana mabinti wanne mabinti wake walikuwa hawakubali sana kuolewa yaani hawataki kabisa.watu wakaja kutafuta sababu wakagundua kwamba sababu ni kwamba huyo mzee alikuwa anjipigia binti zake na wakipata waume akawa anawalilia wakatae ili wasimwache mpweke.siri ilifichuka pale alipokuwa akianza michakato ya kumlala mtoto wa mwisho kwani wengine tayari walishaolewa kwa mbinde.ile anataka kumwingilia mtoto akapiga kelele na kufichua ni jinsi gani babake alivyokuwa akimrubuni.na nakuhakikishia kaka mabinti walikuwa haakai kwa waume kidogo kwa baba kidgo kwa baba.mwisho nataka kusema dunia inayo mambo ya ajabu sana kuyaamini.mtoa mada anaweza kuwa katunga lakini sitaki mniaminishe kwamba hiki ni kitu cha kufikirika kwa hukumu zenu za moja kwa moja.
 
Jamaa yangu hapo huna mke sembuse mchumba unayemwita sasa......nakupa mfano wa mabinti 2 ambao walikikuwa na uhusiano na baba yao mzazi, familia ilikuwa na mabinti 4, mmoja tu kati ya hao ndie aliyeshindikana kuliwa na baba yake kitendo kilimfanya baba yake mzazi kumchukia vibaya sana huku akiaminisha watu kwamba ni mhuni na aaminiki yule binti aliishia kujitafutia mahitaji kwa wanaume kwani jamii iliamini hafai hata kuwa house girl, kutokana na hali hiyo mwaka jana tumemzika kwa kifo kilichotokana na HIV, mwingine ambaye walianza mahusiano na baba yake tangu akiwa hata kuvunja ungo bado aliendelea hadi alipomaliza kidato cha 4 ndipo akaamua kwa dhati kumkataa baba yake na kutokana na manyanyaso yaliyoanza kuibuka kwa baba yake aliamua kutoroka tangu mwaka jana hajulikani alipo hadi leo hii, mwingine ambaye ndie mkubwa yeye alikataa pia kama aliyefariki na kila alipokuwa analeta wachumba tena aliwapata wengi kwani sio hapo wote ni wazuri wa haja, baba yake aliwatukana wote na ndugu jamaa wa wakweze kitendo kilichowafanya wakimbie wote....huyu alishawahi kuolewa na baba yake kufanya fitina hadi binti akaachika na mtoto mmoja mdogo ila maisha yake na mwanae yalikuwa ni ya taabu sana hadi ndugu waliingilia kati ila matusi yalikuwa ni zawadi, kuna kipindi alianza kupewa mahitaji na baba yake hapo sina jibu kama ndio alikubali ama vp, kaolewa mwaka huu mwanzoni jamii inasubiria matokeo na sasa ni nearly 40's...Wa mwisho ndie mke kamili kwani hata mama mzazi anajua hilo, matumizi yote ya familia anapewa yeye ana mtoto mmoja ameshajengewa na nyumba na ndie anapewa mapesa ya huyu fedhuli wa mapenzi kwani sio masikini..huyu ameona ni jambo la kawaida na hataki hata kuolewa kwani mwanzoni alishaolewa mara 3 na zote ziliishia wanaume kusumbuliwa ama na baba au mtoto kwa shinikizo la baba, hata aliyemzalisha alichezea kichapo na kifungo cha mwaka.....mama yupo kama pazia na kutokana na umri hana pa kwenda tena anashuhudia mwanae anavyofaidi maisha na mmewe....Nimekupa ushuhuda huu ili ujue ilivyo ngumu kumtenganisha mtoto mwenye mahusiano ya kimapenzi na baba yake upate mwafaka kabla ya matatizo. Sorry for the longest ever sms ila hata hapo nimejitaidi kuifupisha kadri ya uwezo wangu.
 
Kuna vitu vingine in life unapaswa kukubali kuwa umeshindwa
na you walk away.....kwa faida yako
 
sasa mkuu hebu achana tu na huyo msichana ,kuna mambo tunayavumilia kwenye mahusiano lakini hiuli ni beyond borders i see!waache wapinduane marinda.kuna mabinti wengi tu wazuri wanafaa kuolewa!wala haina haja kubaki na hyo mwanamke,kwa kipi kwanza?

hivi 'kupinduana marinda' mnamaanisha nini?
 
Toka nduki, toka resi mkuu.

Unaweza kujidai nawe unaitwa baba hapo baadae, kumbe unalea watoto wa baba yake mkuu!!
 
yan hapo angalia ustarabu mwingine ukilazimisha hapo labda unasubiri mfunge ndoa akuzalie watoto wa babamkwe ama uwakute kitandani kwako.maje hao kuacha ni ngumu.
 
yan hapo angalia ustarabu mwingine ukilazimisha hapo labda unasubiri mfunge ndoa akuzalie watoto wa babamkwe ama uwakute kitandani kwako.make hao kuacha ni ngumu.
 
Duh.. Sijui familia yako itakuwa ya aina gani. Mtu mzima una mentality za ovyo hivi.

Embu nipishe kule ebooo! Sasa la uongo nililosema pale lipi? Mambo yapo na yanatokea! Tena nitue babu wewe utuuzima umenipa wewe???? Umeniona na ndevu za ulimi? Ile koment ni mtazamo wangu, kama hujaipenda KOROGA OMO UNYWEEE! Wefamilia yako ya aina gani? Kama ya maana sana iweke JF tuione. (things people boast behind the screeen!!! Chinekeeeeee!) Nicheke kwa HERUFI KUBWA ninenepe mie, HAHAHAHHAAAAAAAAA!
 
Kaka haiitaji elimu ya phd kuwa hafai hata ukimuoa utajikuta na wewe unatoka na binti yenu.

Najua unampenda lakini upendo wakweli haufumbii macho jambo lililo ofu, hupaswi kumapa nafasi hata ya kumsikiliza kwani atakufanyia sana utamuonea huruma.

faza kula kona faster hapo ni nomaaaaaaaaaa, don't think twice men
 
Back
Top Bottom