Siwezi kumsamehe huyu siwezi!

Chokochoko

JF-Expert Member
Oct 15, 2011
438
183
kwema ammu?
Naombeni ushauri wenu wenye hekima, inawezekana vipi ndugu mliozaliwa tumbo moja tena amekupita umri
karibu miaka 10 yaani kawahi kuliöna jua kabla yangu leo hii nimepata mitihani kidogo0
kwenye maisha amekua mstari wa mbele kufurahi na kuniongelea vibaya kila mahali kwa kashafa kibao
na hatuna ugomvi wowote kati yetu ila ananiombea mabaya yazidi kunipata zaidi
kiasi kwamba hata watu wanaowaeleza wanajisikia vibaya wanakuja kuniambia
pamoja na hayo nimekua kimya ila amekua akitafuta kila namna ya kuniudhi nimekua kimya ili kumkwepa
na kuzuia shari nakumstahi nimejaribu kujiweka naye mbaali ila bado ananiombea mabaya nanipate sijuhi ni0
kwanini kila nikijika kumsamehe hili nasikia kaniongelea lingine kubwa zaidi na lauongo, ili anichafue
tuu, kuangua kwenye maisha ni swala la kawaida linaweza kumpata mtu yeyote ndivyo ninavyoamini.
Mpaka hapal namshtukuru mungu kwa maneno yote aliyoongea nimemsamehe ila shiitaji niitwe ndugu yake
milele najisikia kujitenga kuishi kivyangu kaaniaribia kwakila ndugu yangu mpaka kwa mama ya ngu mzazi sija
mwelewa lengo lake ni nini labda anataka familia initenge nimeöna bora nijitenge mim4
kama matatizo yanaua basi nikafie mbali, maana navyoelewa mimi shida huja na hupita ila sijajua kwangu
ndio zitakama milele au vipi, nimeandika machungu kweli naombe ushauri wenu

0

0

kari
 
Kama anakuombea mabaya wewe jiombee mazuri. Hii dunia huwezi kupendwa na kila mtu. Halafu kuwa makini na hao waleta habari wako.. Hao ni hatari kuliko milipuko ya mabomu.
 
Just ignore na songa mbele na maisha yako I am facing the similar case tena mi wa kwangu kanizidi almost twenty years nimeamua kum ignore na kusonga mbele na maisha yangu ! Ukishindana naye unapoteza Muda! hata akuombee mabaya kiasi gani maisha yako yataenda kama Mungu alivyokupangia! Nimesemewa mabaya mengi sana na huyo ndg yangu lakini anashangaa kilsa siku napanda juu tu hata sishuki! Kikubwa mtazame Mungu na umuombe akujalie aliyokupangia maishani mwako! Na huyo ndg yako muombee mema tu Mungu atashughulika naye! I am telling you this from my own experience nimemuona Mungu ktk namna ya tofauti maishani mwangu na amemuaibisha huyo ndg yangu mno!
 
ukaa nae ili umujulishe makosa yake? Wivu wa ndugu ni mbaya sana ujue.
 
Ukisikia ndugu lawama ndio huyo..
Jikaze mkuu mungu hutoa mitihani kadha wa kadha ilu ubinadamu wetu utimie..
PIGA SANA SALA ZA USIKU WA MANANE MUNGU ATAFUNGUA NJIA
 
amini kila mtu ni mzuri, wewe ndiye mbovu na ndo umesababisha akuseme, endelea na maisha yako...problem solved..kwani jamani ukipotezea unakuwaje? we differ bwana, hawezi kuwa sawa na wewe au kusema na kufanya unavyotaka wewe!!!!
 
Mkuu moto hauzimwi kwa moto.., mtu akikutendea mabaya sio lazima ulipe mabaya wewe mlipe mema.., anyway siri ya kuweza kuishi na watu vizuri ni kuwaelewa tabia zao, ushajua ndugu yako ni muongo na ana wivu jifunze kuishi na mabaya yake na sababu unayajua itakusaidia kutokuwa surprised (pia usipende kusikia maneno ya watu sometimes sio ya kweli)

"We Destroy Our Enemies by Making them Our Friends" Martin Luther King.., Kumbuka kwa wewe kumchukia na kuanza vita ni kuanzisha battle ambayo mwisho wake utakuwa sio mzuri kwako au kwake
 
mradi umekwisha mjua tabia zake, muepuke na kaa nae mbali, asijue lolote khs maisha yako....kumbuka mbwa ukimjua jina haiusumbui..... Heri adui unayemjua utajua jinsi ya kumuepuka......
 
Pole ndugu yangu ila atabakia ndugu yako tu hata akufanyie nini, cha muhimu wewe shika hamsini zako namaanisha ignore him big halafu yeye akiona havikuumi wala kukugusa ataacha lakinin kila siku ukionekana na mawazo na huzuni unampa ushindi dont mind him, kwani hamna watu wengine wanakupenda eti? kwani wanajf tumesema hatukupendi? dont mind him he is a loser,
 
thank you
 
Just ignore na songa mbele na maisha yako I am facing the similar case tena mi wa kwangu kanizidi almost twenty years nimeamua kum ignore na kusonga mbele na maisha yangu ! Ukishindana naye unapoteza Muda! hata akuombee mabaya kiasi gani maisha yako yataenda kama Mungu alivyokupangia! Nimesemewa mabaya mengi sana na huyo ndg yangu lakini anashangaa kilsa siku napanda juu tu hata sishuki! Kikubwa mtazame Mungu na umuombe akujalie aliyokupangia maishani mwako! Na huyo ndg yako muombee mema tu Mungu atashughulika naye! I am telling you this from my own experience nimemuona Mungu ktk namna ya tofauti maishani mwangu na amemuaibisha huyo ndg yangu mno!
barikiwa sana ndugu kwakunipa moyo
 
Kwanza huyo ndugu yako anaroho mbaya,pili unafikiria sana anayokufanyia na dizaini kashaujua udhaifu wako ila dawa yake ni ndogo sana kaa kimya usimjibu chochote hata aongee nini na wala usiende kulalamika kwa wanaomsikiliza upuuzi wake yani jitie kama hayuko katika kichwa chako endelea na mambo yako kimya kimya uone kama ataongea maisha yake yote maana anayekusema kwa watu anakuogopa na unachazaidi ambacho anakihofia kwako sasa the best way kupunguza machungu yake ni kukufanya ujione hufai, usiomuogope eti kisa anakuombea mabaya yeye si Mungu hana uwezo wa kukulaani kwa chochote muombe Mungu na utafanikiwa na uombe Mungu zaidi siku utakayofanikiwa aone mafanikio yako sababu mama yangu mzazi na rafiki yangu walifanyiwa the same thing na ndugu zao wa damu mpaka wakatengwa na ukoo mzima kwa chuki ya mtu mmoja ila ukimya uliwasaidia sitaki kusema wakati Mungu alivyofungua njia ukweli ukawa hadharani na walisamehe so jifunze kusamehe na kusahau.
 
Pole sana,ndio maisha na wala asukushughulishe na wanaokuletea habari pia wambie hutaki kusikia...
 
Kwanza huyo ndugu yako anaroho mbaya,pili unafikiria sana anayokufanyia na dizaini kashaujua udhaifu wako ila dawa yake ni ndogo sana kaa kimya usimjibu chochote hata aongee nini na wala usiende kulalamika kwa wanaomsikiliza upuuzi wake yani jitie kama hayuko katika kichwa chako endelea na mambo yako kimya kimya uone kama ataongea maisha yake yote maana anayekusema kwa watu anakuogopa na unachazaidi ambacho anakihofia kwako sasa the best way kupunguza machungu yake ni kukufanya ujione hufai, usiomuogope eti kisa anakuombea mabaya yeye si Mungu hana uwezo wa kukulaani kwa chochote muombe Mungu na utafanikiwa na uombe Mungu zaidi siku utakayofanikiwa aone mafanikio yako sababu mama yangu mzazi na rafiki yangu walifanyiwa the same thing na ndugu zao wa damu mpaka wakatengwa na ukoo mzima kwa chuki ya mtu mmoja ila ukimya uliwasaidia sitaki kusema wakati Mungu alivyofungua njia ukweli ukawa hadharani na walisamehe so jifunze kusamehe na kusahau.
nashukuru kwa ushauri mzuri my dear nikweli anayoroho mbaya sana
 
Back
Top Bottom