Hivi hawa wazee ni wa Dar es salaam? au ni wazee wa CCM wa mkoa wa dar es salaam? mbona tunadanyana sana hii danganyika! hizi sizo enzi za chama kimoja.
mwacheni mtu na maisha yake mbona cpwa anafuga dread lock au yule mtangazaji wa SS anavaa kipini msipige kelele. WARNING: USINIELEZE MASWALA YA MAADILI HUKU MAADILI YENYEWE YAMEKUFA.
yaani mtu anakung'oa kwanza meno kisha anakupa mswaki hakuna cha kukipongeza cck hapo! majembe yote yameingia mitini hata wale ambao walikuwa nyuma ya pazia pale CCJ kushney. REST IN PEACE CCJ.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.