Iran threatens to destroy Israel within a week

Status
Not open for further replies.
Kwani wamepigana mara ngapi mpk useme toka lini? Unaongea utafikiri inakuhusu vile manake mpk mapovu na machozi yanatoka. Mimi najua Vita moja tu ya mashariki ya kati ambayo imesababisha mpk leo milima ya Golan inakaliwa na Israel na kifo cha Anwar Sadat.

Kumbe unajua USA ni mume eeh? (Hata Osama na Saddam wanajua)
Hahah sasa wewe una hesabu US kuwaua Osama and Saddam kuwa ndoawanaume, wakati umesahau wanajeshi wangapi wakimarekani wamekufa kule iraq...afu mbona wamekimbia we soma fact na reason ilio mfanya mmarekani kukimbia Iraq...hivi wewe unadhani mmarekani kashinda vita iraq?

Au kule afghanstan ndo usiseme...hahaha kweli akili mali, mmarekani anakimbia kila anapo ingia vita....anatafuta kila njia kutoka Afghanstan.
 
Unaongea kama Comical alli au Mousa Ibrahim....wako wapi baba zao Saddam,Osama,Ghadaffi, Anwar Awlaki et al.......amebaki Ahmednajad/Iran......Mossad iko kazini watch this space. ungekuwa na akili kidogo tu ya kujua US=Israel and Israel=US...basi hata usingepoteza muda wako na wahindi/iran.
Tunajua mmarekani ni mtumwa wa kiyahudi ndio hatukatai....lakini nataka unieleze wapi mmarekani kashinda vita alizo ingia yeye na isreal.....America wameshindwa vita somali, Iraq, na sasa Afghanstan.

Isreal kapigwa na nchi ndogo sana lebanon tena kikosi tu cha Hezboullah tena mara mbili anakimbia mwenyewe.
 
Polee uelewa wako ni mdogo sana a real Comical Alli...Don't argue with a f$%%$^&&**.....I'm out.
 
Polee uelewa wako ni mdogo sana a real Comical Alli...Don't argue with a f$%%$^&&**.....I'm out.
Mtaishia matusi nendeni basi Iran mmekalia kelele tu....haya wasalimie kina natanyahau, na bora usrudi mana mnakelele nyingi tu.
 
Nawashangaa watu wanaosema Israel ni taifa teule la mungu, mungu yupi huyo? Hivi bado katika karne hii ya 21 kuna watu wenye mawazo mgando kama haya?

Watanzania wanzangu msidanganyike, Israel haina tofauti na Tanzania wala Ruanda hata Afghanistan. Hizo propaganda za biblia zinawapoteza sana, mi nazifananisha na mashairi ya Shabaan Robert. Kama unasoma biblia na kuamini kilichoandikwa basi imekula kwako.

Kilichoandikwa kimeandikwa ndugu yangu, Biblia siyo novel. Imewashinda Satanic Verses ya Sulman Rushdie leo hii itakuwa Bible ya Mungu?
 
Hahah sasa wewe una hesabu US kuwaua Osama and Saddam kuwa ndoawanaume, wakati umesahau wanajeshi wangapi wakimarekani wamekufa kule iraq...afu mbona wamekimbia we soma fact na reason ilio mfanya mmarekani kukimbia Iraq...hivi wewe unadhani mmarekani kashinda vita iraq?

Au kule afghanstan ndo usiseme...hahaha kweli akili mali, mmarekani anakimbia kila anapo ingia vita....anatafuta kila njia kutoka Afghanstan.

Wewe una akili za katuni. Kutafuta kila njia ndio nini? Iran sio threat kama unavyodhania. Siku zote mwenye akili ndie hushinda vita na sio ukubwa wa jeshi wala ardhi. Pale Iraq kwa mkorofi mkubwa ilikuwa ndani ya mwezi mmoja Saddam kushnei, itakuwa kwa huyu Ahmedinijad ambaye ana wapinzani milioni kadhaa ndani ya ardhi yake?

Na nikuhakikishie kuwa hakuna mtu rahisi kumdunda kama Muarabu kwa kuwa akili hakuna. Hao waisraeli unaowasema hawaendi vitani kwa rundo kama unavyodhania wewe mwenye akili ya vita vya kina Chumong. Wao hutuma watu kadhaa wakafanya mambo nje ya ardhi yao kwa style ambayo Anwar Sadat alipata kwikwi na presha kwa pamoja na kufa.

Wewe kaa na akili za kale ufikiri hii ni vita ya Goliati. Wamarekani wana.intervene kwa kuhofia Israel watatumia extra power na kuharibu uchumi wa dunia. Kuliko kukaa hapa unabishana mpk mapovu yanakutoka, nenda Sudan ukasaidie wamanga wenzio wanauana wenyewe kwa wenyewe
 
I doubt israel has the face to attack iran directly, Israel won’t go to war with Iran :biggrin:

The fact is Israel has always depended on the US for its military hardware and to be replenished in a time of war.... Israel has not been tested on on the military field.

All its Arab opponents have been weak and in the 1967 War Israel struck first, in Iran it faces an opponent that has prepared itself to engage in war with a country that spends more on its military and airforce.

Iran is bigger and its geography is better suited to take on the Israeli army.....Irans economy is bigger and could weather a long war better than Israel. ....while Israel would not lose a war with Iran, it would not win it....But it would be left with so much war damage that it would lose it's position as a regional power:biggrin:

Let me give you some knowledge which I believe most you of lefties doesn't have:

1.Israel has more than 200 atomic devices vs Iran which may have 1 soon.Even if Iran bought nuclear devices from other rogue states, the retaliation from Israel would be the equivalent of 2,000 plus hiroshimas.
2.The 200 plus Israeli atomic devices are unstoppable by Iran i.e. up to 80 can be launched by submarines and the rest by ICBM or F-15s or F-16s
3.Israel has the world?s most advanced anti-ICBM missle umbrella which may be impenetrable by Iranian Shahib missles . Iran can only deliver their 1-2 atomic warheads by ICBMs with no other delivery capabilities.
4.Israel has a satellite system with multiple types of spy satellites which have reached the limit of possible resolution (defraction limit) generally thought to be about 10 centimeters and their satellite system is all weather. Together with their advanced UAV capabilities , this allows Israel to possess the most detailed photos and real-time imaging of all Iranian military installations .
 
Iran is bigger and its geography is better suited to take on the Israeli army.....Irans economy is bigger and could weather a long war better than Israel. ....while Israel would not lose a war with Iran, it would not win it....But it would be left with so much war damage that it would lose it's position as a regional power:biggrin:

Everyone continues to accept the fallacy Israel due to it's size would suffer more destruction than Iran in any nuclear exchange.

This is totally inaccurate for several reasons. Israel's arsenal of nuclear weapons contains thermonuclear weapons despite what French Strategy believes. The father of the H bomb Edward Teller, actually spent time in Israel assisting them with the beginning of their nuclear weapons program including the goal of having thermonuclear weapons. While Israel is the only nation to have a nationwide anti-ballistic missle defense system, it is true that , as of now , it is definitely possible Iran could still have some of their missiles land in Israel. However, according to Anthony Cordesman ‘s review of the results of a possible nuclear exchange , Iran would definitely suffer much more damage.

Although Iran is much larger than Israel the majority of Iran's industry is concentrated in Tehran. Tehran is located in a bowl. It is almost perfected situated to suffer maximum damage from a nuclear strike. Israel also has a second strike capability with their 5 Dolphin submarines. This would not only be a second strike which Iran would have immense difficulty defending against. It also guarantees , if other neighboring countries attempt to attack Israel, they would also suffer nuclear strikes.

The fact is Israel has always depended on the US for its military hardware and to be replenished in a time of war.... Israel has not been tested on on the military field.

Israel is a world leader in high technology. It has the most companies on NASDAQ, the listing of the top high tech companies in the world , except for the US. It is also a world leader in the computer field. Those who believe Israel’s high tech sector is just due to the yearly military aid from the US couldn’t be more wrong.
 
Mi nastajaabu sababu ya wao kutaka kupigana na Israeli. Labda mniambie.
Kama ni sababu ya kuwaonea waarabu mbona wamarekani na nato ndo watuhumiwa zaidi ya Israeli.
Au wanataka tu kuwapiga Israeli kama alivyofanya Hitler.
Zaidi ya sababu za kiimani sioni haja ya kuwagusa Israeli.
Ila wale watu mi nawakubali sana. Hata kama wanasaidiwa kwenye vita illa maisha yao ya maana sana. Siku zote wao na wapalestina mabomu tu lakini hata njaa hawapati. Halafu wakati waarabu wanapiga kelele wenyewe wanajenga makazi kwa kwenda mbele hata hawaogopi kama yatalipuliwa. Hizo somalia, Iraq, Afghanstan watu wake wako hoi ile mbaya wakati wenye vita kila siku uchumi wao unapanda.
Hizi si akili za kina sie watakuwa wanatuzidi kidogo.
Kwenye mambo ya kusuluhishwa na wapalestina, Kuna kipindi Bush alimpiga mkwara Sharon, mshikaji akasema "We are Israelites we can't be controlled by any of u. It is our time." Kesho yake Bush akaenda Israeli, it was real fun. Hapo sasa boss atakuwa Israeli. Sasa marekani kama watumishi wake kwanini wasifanye wao badala ya boss wao.
 
Si ndo hata mimi nashangaa...afu wanasema isreal ana weza kuwapiga warabu....hebu mmarekani akae kando asimsaidie isireal tuone kama kutabaki na nchi inaitwa isreal.

Mimi naipa nchi moja tu isreal wafany enae vita wachaa warabu wengine wakae kanda....apigane na eghpty afu mmarekani na europe wasiingile kumasaida isreal...kama atachukua hata week.

Jeshi la Egypt limekuwa likiendeshwa kwa msaada wa US tangu mwaka 1979. Kila mwaka Egypt inapokea dollar bilioni 2 kutoka US kama msaada kwa jeshi lake ikiwemo vifaa vya kijeshi. Vifaa hivi muhimu kwa jeshi hilo ni pamoja na military hardwares kama new advanced F-16C/D fighter aircrafts, Boeing Co CH-47D CHINOOK transport helicopters, Northrop Grumman Corp E-2C Hawkeye Airborne Early Warning Command & Control aircraft and Patriot air-defense systems. Hapo hujagusa training ya kutumia vifaa hivyo na mafunzo mengine ya kijeshi.

Sasa ndugu fazaa unapoongelea msaada wa Marekani kwa Israel jielimishe zaidi na upande wa Egypt uliyoipendekeza.

Iran naona wanaipiga mikwara Amerika pia

Last edited by a moderator:
Tunajua mmarekani ni mtumwa wa kiyahudi ndio hatukatai....

Isreal kapigwa na nchi ndogo sana lebanon tena kikosi tu cha Hezboullah tena mara mbili anakimbia mwenyewe.

Weeeh, acha kujidanganya kabisa, Israel si nchi ya kushindwa vita kirahisi kama ufikiliavyo & kaa ukijua kuwa lile ni Taifa teule la Mungu, na itakapotokea kwamba Israel inashindwa ktk vita basi ujue hawakushindwa waisrael bali kashindwa Mungu. Nenda kasome vita vya Israel vile vya mwaka 1967 uone.
 
Jeshi la Egypt limekuwa likiendeshwa kwa msaada wa US tangu mwaka 1979. Kila mwaka Egypt inapokea dollar bilioni 2 kutoka US kama msaada kwa jeshi lake ikiwemo vifaa vya kijeshi. Vifaa hivi muhimu kwa jeshi hilo ni pamoja na military hardwares kama new advanced F-16C/D fighter aircrafts, Boeing Co CH-47D CHINOOK transport helicopters, Northrop Grumman Corp E-2C Hawkeye Airborne Early Warning Command & Control aircraft and Patriot air-defense systems. Hapo hujagusa training ya kutumia vifaa hivyo na mafunzo mengine ya kijeshi.

Sasa ndugu fazaa unapoongelea msaada wa Marekani kwa Israel jielimishe zaidi na upande wa Egypt uliyoipendekeza.

Kwanza wewe unataka kujionyesha msome kwa kuhiighlighted neno la eghpt kama nimekosea kuandika hahaha...huo ni ujinga mana sioni kama kuna kosa nikiweka Y mwishoni.

Sasa turudi kwenye point, unasema eghpt anategema msada kuotka america toka mwaka 1979 ungekuwa na akili kidogo tu ungejuwa pale mmarekani anahonga ili eghpt asiwe anamsumbua muisreal....ngojeni muone kipigo atakacho kipata karibuni kutoka kwa Iran ndo mtajua hana kitu huyo...landa atumie nuclear bom na hapa akitumia ujuwe ndo mwisho wake hauko mbal..iHizo nuclear atabaki tu kazishikilia lakini hawezi kuzitumia kwenye vita :biggrin:
 
Weeeh, acha kujidanganya kabisa, Israel si nchi ya kushindwa vita kirahisi kama ufikiliavyo & kaa ukijua kuwa lile ni Taifa teule la Mungu, na itakapotokea kwamba Israel inashindwa ktk vita basi ujue hawakushindwa waisrael bali kashindwa Mungu. Nenda kasome vita vya Israel vile vya mwaka 1967 uone.
Duuu hii babkubwa taifa la mungu liwe linasaidiwa na mmarekani, kweli ukitaka kuona vichaa walioka duniani soma hii point ya jamaa.

Sasa kama isreal ni taifa la mungu na mmarekani ni taifa la baba yake mungu au???

Sikujua kama ndo vile na sikujua kama mungu ana taifa, itabdi nikamtafute mungu isreal au marekani mana kuna taifa la mungu na taifa la baba yake mungu.

Kweli wewe kichaa, hakuna taifa la mungu hakuna sehemu mungu kasema hivyo....itabidi niende kutafuta bibilia yenu wapi inasema Isreal ni taifa la mungu...
 
Ma-Iran ni Mashehetwani hayatamuweza Taifa la Mungu aliye Hai (Israel)
ISRAEL NA ABARIKIWE MILELE. Maadui zake Ma-Irani na wote wanaomchukia Waangamie Milele. Amen.
Siku isreal itakuwa taifa la mungu basii asinge hitaji msada wa nchi zingine kwenda kumpiga Iran.

Hivi nyie bado tu mnadanganywa kwamba isreal ni taifa la mungu.....kweli alie lala usingizi hata ukimuamsha atabaki kuropoko kama yuko ndotoni vile....haja kosea Jesus aliposema nimekuja kuwaongoza kondoo wa kiyahudi...ingekuwa isreal ni taifa la mungu asinge sema kondoo walio potea...Na wewe ni kondoo wa kiyahudi au....Kama sio kondoo wa kiyahudi utakuwa kondooo wa nani vile :biggrin:
 
Kwanza wewe unataka kujionyesha msome kwa kuhiighlighted neno la eghpt kama nimekosea kuandika hahaha...huo ni ujinga mana sioni kama kuna kosa nikiweka Y mwishoni.

Sasa turudi kwenye point, unasema eghpt anategema msada kuotka america toka mwaka 1979 ungekuwa na akili kidogo tu ungejuwa pale mmarekani anahonga ili eghpt asiwe anamsumbua muisreal....ngojeni muone kipigo atakacho kipata karibuni kutoka kwa Iran ndo mtajua hana kitu huyo...landa atumie nuclear bom na hapa akitumia ujuwe ndo mwisho wake hauko mbal..iHizo nuclear atabaki tu kazishikilia lakini hawezi kuzitumia kwenye vita :biggrin:

We kiazi, inaitwa Egypt maana unarudia-rudia mchemko sasa kama jina la nchi hiyo linakushinda utajua vipi details nyingine?
 
We kiazi, inaitwa Egypt maana unarudia-rudia mchemko sasa kama jina la nchi hiyo linakushinda utajua vipi details nyingine?
Dogo hapo ndo nilikuwa nataka kutest akili zako kama kweli zinafanya kazi hahaha.

Yani wewe unadhani kuandika Misri au Masri au kuna tofauti? kuna watu wanaweza kuandika india wengine wakandika hindustan.

Kuna watu wanaweza kuandika cairo hivi kairo au cairro siouni kosa unless uwe mjinga ndo uta urge na useless point.

Hata baba zako wayahudi wanaandika israil wewe unasema isreal sasa nani ana makosa :biggrin:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom