Vodacom kujitoa kudhamini miss tanzania......

Yatakuja mapya chini ya primetime promotion. Yataitwa Miss United Republic of Tanzania .-la hapo nitampa mia kwa mia Ruge kwa kuibua warembe nadhani ana jicho lakuona cheki alivyo mlazimisha Flaviana Matata , before nani angedhani Flaviana ana weza kua mrembo? Leo ni international model.
 
Halitakuwa jambo la ajabu. 'Miss Tanzania' pageant haina mvuto wala heshima tena, kwani imetekwa na wahuni wanaoharibu tu dada zetu. Washindi wengi wanapatikana kutokana na madau ya watu wenye pesa mjini. Ingekuwa jambo la maana sana iwapo kina dada na kina mama ndani ya bunge letu waliangalie hili - wenye mandate ya kuendesha hilo hivi sasa wasipewe sole mandate ya kuendesha pageant hii bila kikomo, na badala yake tuanzishe mchakato ambapo kutakuwa na ushindani kupata mkataba husiku kuendesha hilo, ambao utakuwa reviewed kila baada ya miaka 3 au mitano, na next time you dont qualify, tupa huko. Miss Tanzania ya sasa haiendani kabisa na utamaduni wetu. Wabunge wanawake, wakisaidiana na wizara husika kama ile ya utamaduni, wanawake, na wadau wengine wanaweza rekebisha tatizo hili. Siku mkipata nafasi, kaeni chini na kina dada wanaoshiriki kwenye kitu hiki, mtasikia habari za kusikitisha sana.
 
kwani kabla ya vodacom wallikuwa wanadhaminiwa na nani? Hata hivyo mashindano yenyewe hayana tija. Rene Meza keshaliona hilo

zamani kabisa ilikuwa sigara ya Aspen, hapa katikati wakaja Ocean Sandals kabla ya Vodacom.
Kama kumbukumbu zangu zi sahihi...
 
mmh habari mbaya hii ss.
nakumbuka kipindi kile cha ocean sandal hii kitu ilichuja kbs vodacon ndio wazee wa mbwembwe na totoz! dah basi tena.
 
Nitajitahidi kuwadhamini mimi maana huwa nasikia wadhamini wanafaidi kuwachek watoto hadi vinyweleo na kujiopolea unayemtaka kabla umma haujawaona.
 
lakini sidhani kama hilo ni tatizo kwani si kuna wadhamini wengine? Ila lazima watapata pigo cuz vodacom ndio walikuwa wadhamini wakubwa wa hayo mashindano
 
Au voda kule kusongwa juu ya ile ajali ya meli, kumewadiscourage? Aniways wadhamini watapatikana wengine
 
Hakuna cha Rene wala nini atachemsha tu maana kasi yake haina support na pia yuko pekeyake atachemsha tu
Taratibu kaka acha hizo unajuaje kasi yake haina support ,wengi wanamchukia Rene kwa kukata mirija ya tenda walizokuwa wanapata baadhi ya watu fulani tu kwa kujuana
 
Back
Top Bottom